vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Kutokana na profile ya Club African, kuna wachambuzi wa kibongo pamoja na mashabiki wa Simba walikuwa wakitoa kauli mbali mbali za kuonesha mwisho wa Yanga umewadia kabla na baada ya game ya Dar es salaam. Weka hapa kauli unazokumbuka.
Mimi nakumbuka, Walisema safari ya Yanga kimataifa imeishia hapo.
1. Mpira waliocheza Club African dakika za mwishoni ndio mpira wao halisi hivyo uto jiandae kupigwa hamsa kule Tunisia.
2. Kipanga ilikuwa hivyo hivyo sare lakini uliza kilichowakuta, uto msijifariji hawa jamaa kwao wanashambulia kama nyuki
Baada ya mechi ya jana, Club African ni sawa na Ihefu tu. Waarabu hawana kitu simba tungemfunga tano.