Tujikumbushe kauli tata za viongozi mbalimbali duniani

Tujikumbushe kauli tata za viongozi mbalimbali duniani

Mie sikutamani kugombea hiki kiti nilisukumiza tu.

"Nakushukuru mheshimiwa Mungu, kwa kunitoa Jalalani " Profesa macho

"Rais yuko na afya tele anafanya kazi kiofisi" katelephone.

Huna hela ya kulipa darani Piga mbizi

"Kuna m1 anapiga piga simu kwenye kamati ya muhoro akiomba data watu km hawa wasaliti dawa kuwauwa tu" aliskika kiongozi m1 nchini Azebajab

"Hakuna atakayeleta maendeleo km mimi" kiongozi kutoka Madascar

"Ntafukuza bungeni ukakae huko nje na hakuna la kunifanya " aliskika mgogo mmoja aliyejiona yeye baada ya mungu yeye ndo anapaswa kuabudiwa


"Nataka dar uwe newyork" kiongozi mmoja kila jambo yuko yeye..
 
hakuna nchi ambayo watu hawatekwi na kuuawa-Samia 2024
 
downloadfile-4.jpg
 
kifo ni kifo tu msitake kunikera

Sa100-2024
 
Back
Top Bottom