Tujikumbushe kauli tata za viongozi mbalimbali duniani

Tujikumbushe kauli tata za viongozi mbalimbali duniani

JPM angepeleka vipi maendeleo eneo lenye mpinzani ( wapinzani wa tanzani kila kitu wanapinga) maana kungekuwa na lugha gongana. Hii nchi hakuna wanasiasa wenye nia ya dhati ya kile wanacho ongea, wengi wao wana nia zeo za sirini na kufanya siasa ni uwanja wa kufikia ndoto za maisha ya kifahari kupitia huo mlango
Kwamba serikali haikusanyi kodi kwenye majimbo ya wapinzani?
 
ndugu zangu tusome basi heading ya thread tuelewe,lengo sio kuanza kuzijadili na hatimae kutukanana humu,ni kwamba kama unakumbuka tu kauli yyte ya kiongozi mkubwa duniani yenye utata tukumbushe tu wala hatutaki mjadala hapa,hayo makasiriko na matusi ya hapa na pale yatunze tu ipo siku tutayahitaji
 
JPM angepeleka vipi maendeleo eneo lenye mpinzani ( wapinzani wa tanzani kila kitu wanapinga) maana kungekuwa na lugha gongana. Hii nchi hakuna wanasiasa wenye nia ya dhati ya kile wanacho ongea, wengi wao wana nia zeo za sirini na kufanya siasa ni uwanja wa kufikia ndoto za maisha ya kifahari kupitia huo mlango
Hata mimi ningefanya kama Jiwe. Tena hata miundombinu iliyopo ningeing'oa. Tupo watu vichaa zaidi ya Jiwe na ole wao tupate madaraka ka ya Jiwe waone!!!
 
Rais yupo ofisini anachapa kazi... Jackson PrecisionAir
 
Kutengeneza ajira si kazi ya serikali.
Samia 2023
 
polisi wa Tanzania wana utu-Raila 2023
IMG_20230327_090534.jpg
 
Wapo kuzimu wanatafuna bikira
 

Attachments

  • FB_IMG_1677059366127 (3).jpg
    FB_IMG_1677059366127 (3).jpg
    21.3 KB · Views: 5
  • IMG_20220419_124027.jpg
    IMG_20220419_124027.jpg
    25.8 KB · Views: 21
ipo siku nchi hii itapigwa mnada-JOB NDUGAI 2021
 
Kama unaikumbuka kauli yoyote yenye ukakasi iliyotolewa na kiongozi yeyote duniani naomba tukumbushane, mimi naanza hapa

1: Siwezi kuleta maendeleo hapa mkichagua upinzani-JIWE 2020

2: Kama nchi yangu itaondolewa kushiriki kombe la dunia basi na hilo kombe la dunia lenyewe halitafanyika maana dunia yenyewe haitakuwepo-PUTIN 2022

3:I prefer not to speak,if I speak am in big trouble-JOSE MOURINHO 2020
4:
5:.......
View attachment 2426857
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as white people are. They are still under the process of becoming the complete human beings". Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
mkataba wa usimamizi wa bandari kati ys Tanzania na Dubai utaendelea kuwa HAI mpaka mwisho wa dunia-MA KAME MBALA WA 2023
 
nimeamua kuwa chura




Samia 2024
 
JPM angepeleka vipi maendeleo eneo lenye mpinzani ( wapinzani wa tanzani kila kitu wanapinga) maana kungekuwa na lugha gongana. Hii nchi hakuna wanasiasa wenye nia ya dhati ya kile wanacho ongea, wengi wao wana nia zeo za sirini na kufanya siasa ni uwanja wa kufikia ndoto za maisha ya kifahari kupitia huo mlango
Ww kweli kilaza kwa iyo kupinga kwao ndo maendeleo apeleki inamaana aungwe mkono marekani yenyewe trump anapingwa ndo useme eneo wanalompinga asiwe mambp sawa We huna akili. Mtanzania mmoja ana thamani kuliko viwanda vya vyerehani walivyozinduaga na propagandist
 
Back
Top Bottom