Kauli ilikuwa na maana zaidi ya ulichosikia. Maana ya JPM ilikuwa ni hii " asingeweza kupeleka maendeleo mahala ambapo, kuna wanao pinga hayo maendeleo kwenda, na wanao pinga maendeleo sio CDM peke yake hata kuna tamaduni na aina za watu zipo kinyume na baadhi ya maendeleo, by default mahala pakishakuwa na ukinzani wewe unapeleka A wao wanataka C ni ngumu kufanyika kitu" ila kauli za kisiaa na wanasiasa wenye ni kauli za fata upepo, zenye viburi kujiinua kila mwana siasa ana mambo yake ya ajabu ambayo ukiangalia kwa mlengo mwingine mtapishana..