Tujikumbushe kauli tata za viongozi mbalimbali duniani

Kama unaikumbuka kauli yoyote yenye ukakasi iliyotolewa na kiongozi yeyote duniani naomba tukumbushane, mimi naanza hapa

1: Siwezi kuleta maendeleo hapa mkichagua upinzani-JIWE 2020

2: Kama nchi yangu itaondolewa kushiriki kombe la dunia basi na hilo kombe la dunia lenyewe halitafanyika maana dunia yenyewe haitakuwepo-PUTIN 2022

3:
4:
5:.......
View attachment 2426857
unamsingizia Putin.
 
Wapinzani wa nchii hii ( baadhi yao na sio wote) wamekuwa sababu pia ya kukwamisha maendeleo hata katika maeneo yao, kwa kujiona wao kwakua ni wapinzani basi kila kitu wapinge.. Kauli ya JPM kama ungetumia akili zako vyema ungemuelewa
Mpinzani anazuiaje serikali kufanya maendeleo sehemu ambayo serikali imeamuwa kupeleka maendeleo?

Ya kwamba serikali ikijenga barabara kwenye jimbo la upinzani wapinzani wataenda waibomoe?

Ya kwamba serikali ikipeleka miradi wa maji jimbo la wapinzani wapinzani wataenda wangoe mabomba?

Ya kwamba serikali ikijenga zahanati jimbo la upinzani wapinzani wataenda waivunje na kuibomoa?

Acheni visingizio vya kushindwa kupeleka maendeleo kwa wananchi kwa hoja dhaifu ambazo hata kichaa hawezi kubaliana nazo.

Watz tunaweza kuwa tuna walaumu wanasiasa kwa nchi yetu kushindwa kupiga hatua, lakini ukiangalia kwa umakini utagundua tatizo ni sisi wenyewe ,hasa watu wenye mawazo mgando kama ww unaye dhani pesa za serikali ni mali ya raisi hivyo anaweza kuipangia anavyo taka.
 
JPM angepeleka vipi maendeleo eneo lenye mpinzani ( wapinzani wa tanzani kila kitu wanapinga) maana kungekuwa na lugha gongana. Hii nchi hakuna wanasiasa wenye nia ya dhati ya kile wanacho ongea, wengi wao wana nia zeo za sirini na kufanya siasa ni uwanja wa kufikia ndoto za maisha ya kifahari kupitia huo mlango
We National Anthem embu rudia kusoma hiki ulichokiandika ujione usivyo na akili
 
Wewe rudia kusoma nilicho andika ndio utaelewa. Na JPM hadi anaongea vile kaishi na wapinza na walikuwa rafiki zake kabla ya kuwa Rais. Hii nchi wapinzani ( wanao jiita) wanajitoa akili. Umoja wa kitaifa haupo, ila kama ulichukulia kauli ya JPM kama ilivyo ni ngumu kumuelewa.. Hii nchi ina hasara sana kwa wanasiasa wake na hata viongozi sio CCM wala CDM wala vyama vingine.. Tuna watu wazushi wazushi tu
 
Hiki ulichokiandika hakiondoi ukweli kuwa kwa wapinzani nako serikali inatakiwa ipeleke maendeleo..!! NAO WANALIPA KODI KULIKO NYIE MSIO WAPINZANI. Tena hawachelewi kupelekewa TRA kwa kazi maalumu
 
Nikuulize swali moja tu mzee baba, ni mangapi JPM aliongea hayakutekelezeka na mangapi aliongea yakateleka? Yeye hakuwa Mungu na kauli zake hazikuwa omega hakuwa na huo uwezo wa kufanya ivyi kutopeleka kitu maeneo yaliyo chini ya vyama vingine by default lazima ahudumia kuna hospital kuna mamlaka za kiserikali na other stuffs aliongea kisiasa zaidi
 
Unazunguka bure..!! Ukweli ni kuwa maendeleo yanahitajika kwa wote, iwe mpinzani au la..!! Sasa kama kuna hospitali etc why atoe kauli kama ile huku akijua HOPSITALI YA MKOA PALE SONGEA INAHUDUMIA WOTE?

ISSUE HAPA NI KAULI ZAKE FULL STOP..!!
 
JPM angepeleka vipi maendeleo eneo lenye mpinzani ( wapinzani wa tanzani kila kitu wanapinga) maana kungekuwa na lugha gongana. Hii nchi hakuna wanasiasa wenye nia ya dhati ya kile wanacho ongea, wengi wao wana nia zeo za sirini na kufanya siasa ni uwanja wa kufikia ndoto za maisha ya kifahari kupitia huo mlango
Duh!
Akili Kisoda.
 
Unazunguka bure..!! Ukweli ni kuwa maendeleo yanahitajika kwa wote, iwe mpinzani au la..!! Sasa kama kuna hospitali etc why atoe kauli kama ile huku akijua HOPSITALI YA MKOA PALE SONGEA INAHUDUMIA WOTE?
Nimekuuliza una jua idadi ya kauli alizotoa? Kauli ya JPM ilikuwa na maana zaidi ya pale ( zaili ya alicho ongea). JPM moja ya vitu hakuwa anapenda ule upinzani mavi wa kupinga kila kitu. Hii nchi sio wageni kuna matukio tumeona
 
Thread inazungumzia kauli tata alizowahi kuzitoa, siyo kauli zote..!!! Elewa hilo kwanza
 
Back
Top Bottom