Tujikumbushe kauli tata za viongozi mbalimbali duniani

Tujikumbushe kauli tata za viongozi mbalimbali duniani

3. 👇
"Kaa na mavi yako nyumbani".
Hiyo ndio ilikuwa kauli yake ya mwisho akiwaaga wapiga kura wake kabla hajavunwa .
Yule mwehu sijui ilikuwaje akapewa uongozi.
Iko siku tutamuwajibisha Kikwette na Kamati Kuu ya CCM kutuletea kuchaa mwaka 2015. Tushukuru Mungu aliliona hilo akamsepesha mwaka 2021
 
Kauli ilikuwa na maana zaidi ya ulichosikia. Maana ya JPM ilikuwa ni hii " asingeweza kupeleka maendeleo mahala ambapo, kuna wanao pinga hayo maendeleo kwenda, na wanao pinga maendeleo sio CDM peke yake hata kuna tamaduni na aina za watu zipo kinyume na baadhi ya maendeleo, by default mahala pakishakuwa na ukinzani wewe unapeleka A wao wanataka C ni ngumu kufanyika kitu" ila kauli za kisiaa na wanasiasa wenye ni kauli za fata upepo, zenye viburi kujiinua kila mwana siasa ana mambo yake ya ajabu ambayo ukiangalia kwa mlengo mwingine mtapishana..
Usitetee UDIKTETA ndugu. Rais hayuko juu ya Sheria. Rais anawajibika kutekeleza Katiba aliyoapa kuilinda na siyo kufuta HISIA zake. Kwenye hili Magufuli alifanya UHAYAWANI tu

Hizo arguments zako ulizoziweka ni za kipumbavu sana. Kama unaweza delete mapema kabla wengi hawajajua kuwa National Anthem ni MBURULA
 
Usitetee UDIKTETA ndugu. Rais hayuko juu ya Sheri. Rais anawajika kutekeleza Katiba aliyoapa kuilinda na siyo kufuta HISIA zake. Kwenye Magufuli alifanya UHAYAWANI tu

Hizo arguments zako ulizoziweka ni za kipumbavu sana. Kama unaweza delete mapema kabla wengi hawajajua kuwa National Anthem ni MBURULA
Hakuna mahala nimemtetea, shida mnashindwa kwensa zaidi ya mkisikiacho au msomacho
 
Hakuna mahala nimemtetea, shida mnashindwa kwensa zaidi ya mkisikiacho au msomacho
Alisema hapeleki maendeleo kwa wapinzania na kweli hakupeleka. Mfano ni Mbeya Jiji ikiwa chini ya Sugu wa CHADEMA, hakuna mradi wowote wa maana kwenye miundombinu alioufanya kuanzia 2015-21.

Kama utabisha na hili basi una kipaji cha ubishi
 
JPM angepeleka vipi maendeleo eneo lenye mpinzani ( wapinzani wa tanzani kila kitu wanapinga) maana kungekuwa na lugha gongana. Hii nchi hakuna wanasiasa wenye nia ya dhati ya kile wanacho ongea, wengi wao wana nia zeo za sirini na kufanya siasa ni uwanja wa kufikia ndoto za maisha ya kifahari kupitia huo mlango
Ndio maana tulimuwahisha kuzimu
 
Wewe rudia kusoma nilicho andika ndio utaelewa. Na JPM hadi anaongea vile kaishi na wapinza na walikuwa rafiki zake kabla ya kuwa Rais. Hii nchi wapinzani ( wanao jiita) wanajitoa akili. Umoja wa kitaifa haupo, ila kama ulichukulia kauli ya JPM kama ilivyo ni ngumu kumuelewa.. Hii nchi ina hasara sana kwa wanasiasa wake na hata viongozi sio CCM wala CDM wala vyama vingine.. Tuna watu wazushi wazushi tu
Tuambie wewe namna ambavyo uliielewa kauli yake, Ili na sisi tuielewe
 
Tumeibiwa mno,
Tanzania ilishakuwa shamba la bibi!
Hizi kauli hatuzisikii tena
 
Vipi kuhusu yule kiwete wenu aliohifadhiwa ubeligiji? Kauli zake za kibwege mbona hujazitaja
Mtu anayetembea kwa miguu yake, hata baada ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30! unamuitaje kiwete?
 
JPM angepeleka vipi maendeleo eneo lenye mpinzani ( wapinzani wa tanzani kila kitu wanapinga) maana kungekuwa na lugha gongana. Hii nchi hakuna wanasiasa wenye nia ya dhati ya kile wanacho ongea, wengi wao wana nia zeo za sirini na kufanya siasa ni uwanja wa kufikia ndoto za maisha ya kifahari kupitia huo mlango
Mkuu i second you ,umeongea point kubwa mno mno

Haya sas tuendeleee na kauli mm namkumbuka ya mkapa

Nyie Ni malofa wapumbafu Sana

Ya jiwe kilazaa mkubwaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanao jiita wapinzani kwenye hii nchi chenga sana.. Sasa hivi wameanzisha agenda ya kukomalia Majaliwa afukuzwe kwenye chuo za uokoaji na zimamoto na arudishe ndio utaona tuna aina gani ya watu.. Inasikitisha sana
Dah aisee upuzi Sana kina mbowe James na kina kumbusho downson hawajielewi wanatak kufanyike nn
 
Back
Top Bottom