JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,011
- 1,681
Kumbe alitokea wapi huyu kabla ya kuwa DG hapo TRCKadogosa ni mwanasiasa
ila huyu si mtendaji? kwani ni mwanasiasaHusiamini maneno ya wanasiasa.
Ni banker alikuwa NMB nadhaniKumbe alitokea wapi huyu kabla ya kuwa DG hapo TRC
okay sawa.Ni banker alikuwa NMB nadhani
ili mradi tu tuone wako smartBaadaye atakwambia mara bundi mara ngedere sijui kitu gani yaani ovyo kabisa nchi imejaa vilaza watupu.
haaaMtendaji yeyote aliyependwa Sana na Magufuli, msikilize kwa tahadhari.
Kuna mmoja alikuwa anakopa Ili akatoe gawio la Serikali kwenye kampuni Moja ya mawasiliano
Ameteuliwa na mwanasiasa. Anamfurahisha aliyemteua kwa mapambio bila facts. Automatically naye ni mwanasiasa.ila huyu si mtendaji? kwani ni mwanasiasa
Kujipendekeza anasahau taaluma yake, anajidharaulishaAmeteuliwa na mwanasiasa. Anamfurahisha aliyemteua kwa mapambio bila facts. Automatically naye ni mwanasiasa.
Angekuwa ameomba hiyo kazi nakufanyiwa usahili angekuwa huru kiutendaji, kifikra na kimtazamo. Na asingekuwa kwenye kapu la wanasiasa.
Tuendelee kukubali tu maana sisi ni mazuzuNdio alishatuongopea na hatuna cha kumfanya.
Sahihi mkuuKujipendekeza anasahau taaluma yake, anajidharaulisha
Wewe una uzoefu wa masuala ya SGR au unaokota tu habari vijiweni na kuzileta sawa nchi imejaa vilaza na ww ni kilazaBaadaye atakwambia mara bundi mara ngedere sijui kitu gani yaani ovyo kabisa nchi imejaa vilaza watupu.
Tunafahamu hilo shida ni kudanganya umma kupitia vyombo vya habari kwamba hata iweje haiwezi kukwama kwa sababu umeme umekatikakwa mvua hizi, hitilafu za umeme haziwezi kukwepeka, hasa katika nchi za dunia ya tatu ambako miundombinu ya umeme haijasukwa vizuri. jambo la msingi ni kwamba treni hii ni mradi mzuri, tujipongeze, ni wa kwetu, uende vizuri au vibaya ni wa kwetu, tunatakiwa kujipongeza na kutoa maoni ya kuboresha sio kukosoa.
Habari gani za vijiweni mkuu mbona yeye mwenyewe Kadogosa ndio alisema. ama yeye hicho alichosema ndio aliokoteza kijiweniWewe una uzoefu wa masuala ya SGR au unaokota tu habari vijiweni na kuzileta sawa nchi imejaa vilaza na ww ni kilaza