JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,011
- 1,681
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa, amesema wananchi waondoe hofu kuhusu tatizo la kukatika kwa umeme katika safari za treni inayotumia umeme akisema treni hiyo ina mkondo wa umeme unaojitegemea.
Hayo yamesemwa leo Februari 26, 2024 na Mkurugenzi huyo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuanza kwa safari ya majaribio ya treni ya umeme ya abiria kutoka jijini hapa kuelekea mjini Morogoro.