Tujikumbushe kidogo Wakati watu wako shuleni

Extrovert24

Senior Member
Joined
Jun 23, 2022
Posts
144
Reaction score
211
Habari WanaJf,

Nimekumbuka Wakati huo shuleni mwalimu anakuchapa viboko, we ukilia anakwambia aaah unanizomea sindio๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Na wengine ukishika tu nafuta naanza mwazo, iyo sihesabu.. Daah maticha bhn sometimes wanaona Raha wanavyopiga fimbo raia
 
Nilikua muoga Sana WA fimbo.Kabla sijachapwa uso ushajaa machozi nakuwa mwekundu.
 
Fimbo nilichapwa sana primary, utukutu, umbea, uchonganishii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ila Sec level zote sijachapwa kihivyo, nikichapwa bas kosa kubwa, na la watu wengi, yaan class zima au kikundi.
 
Niliwahi kupigwa fimbo ya mgongo nikiwa la tano, mgongo ukabaki umekakamaa kama kuku wa kuchoma.

Bado nikiwa ninawenge mwili umeganda damu ikanirukia kutoka kwa jirani sijui alichapwa sehemu gani.

Yule Teacher alikuwa poa sana, alikuwa deep geopolitics. Tulikuwa na uelewa mkubwa sana wa mambo ya dunia ila kosa lake mumkorofishe. Kwa mwaka anaweza kukuchapa mara moja ila hiyo moja lazima usiisahau.
 
Shule zote huwezi kukosa haya mambo mawili

Kuna ile ya wakati wa mtihani Ticha anakusogelea afu anasema jamani someni maswali kwa makini na myaelewe

Na kuna ile wakati wa paredi Ticha yuko mbele anauliza huko nyuma mnanisikia?hapo lazima wanafunzi wa nyuma waseme hatukusikii bc hapo nae Ticha lazima ajibu kama hamnisikii mmejuaje kuwa naongea?
 
nishawahi zabwa kibao kimoja heavy kwa uoga na ubishi wa kukinga mikono nichapwe,,,aseeee baada ya lile kofi nilipata wenge nkakinga mikono,,nilitandikwa fimbo nakuja shtuka bakora ya 8 ndo naanza kufeel maumivu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพsekondari io f3
 
Wa hivo akikuchapa zinakuwaga za moto sana Bakora zake
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Ulileta kipingamizi cha kuweka mikono akakuweka kwanza sawa
 
Nishawahi ongoza mtihani wa math aseee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚na nilipiga chabo aseeee,, nakumbka ile test hadi vichwa walifeli,sasa ticha alitamka tuu,,naona huu mtihani umekua vise versa,wa chini wapo juu wa juu wapo chini,,sasa nikaanza kuwaza akisema nikasolve hata swali moja pale๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ uzuri ticha alikua mwelewa sana yule.
 
Kwamba someni maswali vizuri muyaelewe ๐Ÿ˜
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Angekumaliza, we umezipataje hizi
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Ulileta kipingamizi cha kuweka mikono akakuweka kwanza sawa
sina hamu aseeee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚sikuwahi pigwa kofi kama lile maishani mwangu,halikuuma mda ule na wala sikulia,ila kitendo cha kutoka ofisin na watu kuanza kuniangalia alama za vidole shavuni na kunambia pole,,aseeee kilinitia uchungu na hasira,nililia toka saa mbili hadi saa nne.
 
I love ๐Ÿ’• You๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ daah umenikumbusha mbali Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ