Tujikumbushe kidogo Wakati watu wako shuleni

Tujikumbushe kidogo Wakati watu wako shuleni

Mwanangu Nduku Charles ,kidato cha pili aliniita chemba akaniambia mwamba mimi nimeamua kuacha shule.Kisa ni nini ? Akanijibu Mwl Ndalawa kila nikikutana nae lazima anipige bakora na makwenzi niwe na makosa au sina.Ila tulimaliza wote.Alikuwa na bahati mbaya kweli na huyu mwalimu.
Siku moja darasa zima alipigwa yeye tu halafu pindi la dk 80 jamaa yangu hakulia.Baada ya Teacher tu kutoka wacha aporomoshe kilioo.
 
Back
Top Bottom