Tujikumbushe kidogo Wakati watu wako shuleni

Tujikumbushe kidogo Wakati watu wako shuleni

Teacher wa mathe alikuwa anapiga pindi ,halafu mi niko kimyaa tu nimechill hata simfatilii .Ghafla akanipoint niende mbele kusolve manamba.Kila akinipoint mimi nimekausha tu ,sio kama nilikuwa namdharau ni vile manamba yalikuwa yananipa shida sana.Nikamsikia anasema liangalie kama limeshonelewa hapo hapo.
Nakumbuka topic ilikuwa 'polynomial function' kidato cha tatu.
 
nishawahi zabwa kibao kimoja heavy kwa uoga na ubishi wa kukinga mikono nichapwe,,,aseeee baada ya lile kofi nilipata wenge nkakinga mikono,,nilitandikwa fimbo nakuja shtuka bakora ya 8 ndo naanza kufeel maumivu [emoji16][emoji16][emoji1487][emoji1487]sekondari io f3
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear jamani poleeee, nimechekaaa hatarii.
 
Nishawahi ongoza mtihani wa math aseee[emoji23][emoji23]na nilipiga chabo aseeee,, nakumbka ile test hadi vichwa walifeli,sasa ticha alitamka tuu,,naona huu mtihani umekua vise versa,wa chini wapo juu wa juu wapo chini,,sasa nikaanza kuwaza akisema nikasolve hata swali moja pale[emoji1787][emoji1787] uzuri ticha alikua mwelewa sana yule.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiii
 
Teacher wa mathe alikuwa anapiga pindi ,halafu mi niko kimyaa tu nimechill hata simfatilii .Ghafla akanipoint niende mbele kusolve manamba.Kila akinipoint mimi nimekausha tu ,sio kama nilikuwa namdharau ni vile manamba yalikuwa yananipa shida sana.Nikamsikia anasema liangalie kama limeshonelewa hapo hapo.
Nakumbuka topic ilikuwa 'polynomial function' kidato cha tatu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nimechekaa had machoziii.
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nimechekaa had machoziii.
Mimi mpaka nimetamani kulia alikuwa mwalimu poa sana mtu mzima,alikuwa na nia ya dhati kabisa vijana tufaulu hesabu.Ila ndio hivyo tulikuwa hatujajitambua .Waliojitambua piga mabanda kama hawana akili.Pumzika kwa amani mwalimu.
 
Isee kipindi nimeingia standard 3 tunachanganyika na wakubwa hapo siku hiyo kengere imepigwa mm nimechelewa kufika assembly isee kuna mwalimu mmoja wa kike alafu bongeee sijui ndio alikuwa zamu alafu ni mafia sana yule mwalimu..

Nilikumbana nae kwenye kordoo sina hili wala lile akaniita weeeh nikajiroga kumfuata iseee alinifinya masikio huku ananinyanyua alafu nilipofika juu akaniachia nilivyotua chini akanizabua makofi mawili ya masikio aloooh.. nilichanganyikiwa isee nililia sana yaani kwa kuwa ilikuwa muda wa kutoka nilikimbia vibaya sana kwenda home nikafika nalia sana ilipofika jioni mzee karudi bi mkubwa akamwadithia kuwa mwalim alitaka kuniua mm mwanae...

Kesho yk moto uliwaka pale shuleni yule mwalimu alizabuliwa mibao na mzee ofcn ilibidi walimu wenzie na mkuu wamsaidie..
Na shule nikahamishwaaa!

Shule za zamani zilikuwa ni hatari sana full ubabe isee!
 
Mimi mpaka nimetamani kulia alikuwa mwalimu poa sana mtu mzima,alikuwa na nia ya dhati kabisa vijana tufaulu hesabu.Ila ndio hivyo tulikuwa hatujajitambua .Waliojitambua piga mabanda kama hawana akili.Pumzika kwa amani mwalimu.
Math baba mkwe ujue? Sema ukikamia unatoboa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Nzuri
Reactions: EEX
Huu uzi utachekesha balaa, subiri uone comments za waja. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kuna kijamaa kilikutwa na cm sasa walimu katika kupekua wakakuta jina R..... ambalo ndo jina langu,nikaitwa ofisin,nkaulizwa maswali nakataa ila hawaelewi,,sasa tumekaa tunasubir hukumu yetu,,yule wajina si akatuma mesej akamuita jamaa mpenz.......... uuuuweeeeh ikawa pona yangu
 
Math baba mkwe ujue? Sema ukikamia unatoboa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi hata nikamie vipi na nilikuwa nimezungukwa na mabrother wanashuka mathe si mchezo.Mimi mfano nauona mwepesi swali linakuja mara kwenye decimal mara fraction mara maelezo ,basi ni makuchanganyikiwa jamani.
 
Shusha mahi diha sie tufurahi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
io siku bwan tupo mstarini๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿพnpo mimi na mwenzangu sasa utando wa buibui ukawa umepta mbele yetu,tukawa tunajionesha huku tunacheka,,kiranja alokua mbele alikua na kengeza,si akajua tunamcheka,,,alitupeleka kwa ticha tulitandikwa balaa,, mwenzangu kumbe hakupenda,akaenda kumuita dingi ake,,aseee aliporomosha mitusiiii.....to be continued,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
 
[emoji23][emoji23] kuna kijamaa kilikutwa na cm sasa walimu katika kupekua wakakuta jina R..... ambalo ndo jina langu,nikaitwa ofisin,nkaulizwa maswali nakataa ila hawaelewi,,sasa tumekaa tunasubir hukumu yetu,,yule wajina si akatuma mesej akamuita jamaa mpenz.......... uuuuweeeeh ikawa pona yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cm nilikutwa nayo advance, afu haikua yangu, ilikua ni ya mtu mwingine, niko 5 yeye yuko 6, sasa wengi walijua ile cm Co yangu, wakaenda kusema staff, acha nibanwee taja hii cm ya nani mie nakazia yangu.

Nilitaka kupewa suspension ya siku 30, na nilikua nipo tayari, ila akatokea mwalimu wa kike alikua mtu mzima,ndo akaniombea msamaha pale stuff, nkasamehewa, ila cm ilipasuliwa.

Baadae kuna maadam akaja kunitonyaa ungetaja ile cm Co yako na ungemtaja mwenye cm, case ndo ingeanzaa upyaaa, kumbe mwenyewe nilishajua kitambo wao wanawaza nn na wanataka kugundua nn woiiiiih

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilicheza km peleeee.
 
Mimi hata nikamie vipi na nilikuwa nimezungukwa na mabrother wanashuka mathe si mchezo.Mimi mfano nauona mwepesi swali linakuja mara kwenye decimal mara fraction mara maelezo ,basi ni makuchanganyikiwa jamani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeee
 
  • Thanks
Reactions: EEX
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cm nilikutwa nayo advance, afu haikua yangu, ilikua ni ya mtu mwingine, niko 5 yeye yuko 6, sasa wengi walijua ile cm Co yangu, wakaenda kusema staff, acha nibanwee taja hii cm ya nani mie nakazia yangu.

Nilitaka kupewa suspension ya siku 30, na nilikua nipo tayari, ila akatokea mwalimu wa kike alikua mtu mzima,ndo akaniombea msamaha pale stuff, nkasamehewa, ila cm ilipasuliwa.

Baadae kuna maadam akaja kunitonyaa ungetaja ile cm Co yako na ungemtaja mwenye cm, case ndo ingeanzaa upyaaa, kumbe mwenyewe nilishajua kitambo wao wanawaza nn na wanataka kugundua nn woiiiiih

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilicheza km peleeee.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Moments kam hiz ndo hunifanya nkumbke shule mambo ya masomo nehiii ๐Ÿ–๐Ÿพ
 
Back
Top Bottom