Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
🤣🤣🤣Mikutano ya Siasa imeruhusiwa
Sasa kaongee haya kwenye mikutano yenu
Wewe mwenyewe ni mwizi sema hujakamatwa tu.Wachaga wengi ni wezi
Nimesema wachaga wengi ni weziWewe mwenyewe ni mwizi sema hujakamatwa tu.
Ndiyo nilikuelewa that's why na mimi nikakwambia hata wewe mwenyewe ni mwizi tofauti yake na wewe yeye amekamatwa wewe bado hujakamatwa.Nimesema wachaga wengi ni wezi
Mtu wa namna hii ndio mnataka awe kiongozi wa kitaifa sijui itakuwaje?Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoani Kilimanjaro limeikatia umeme hoteli ya Aish hotel inayomilikiwa na Mbunge wa Hai (CHADEMA), Freeman Mbowe kwa madai kuwa wamebaini inatumia umeme wa wizi na kuisababishia Serikali hasara ya shilingi milioni 10.8.
Akiungumza, Meneja wa Tanesco Mkoa wa Kilimanjaro, Mahawa Mkaka, Shirika hilo limebaini jana Septemba 14 kuwa wamejiunganishia umeme na kuharibu miundo mbinu yake.
“Baada ya kupata taarifa kutoka vyanzo vyetu tulienda kwenye hoteli hiyo kufanya ukaguzi, tukabaini wameharibu mita na kujiunganishia umeme kinyemela. Hasara hiyo ya milioni 10.8 ni kwa tathmini ya awali na sasa hivi tunasubiri hesabu kutoka Tanesco makao makuu,” amesema Mkaka.
Enzi zile za marehemu.Hii Habari ya lini?
Si ndo hao wakichukuliwa hatua wanajikinga na kivuli kwamba ni bifu la kisiasa.Tupe muendelezo wa hii habari, hilo deni lilipwa? au wahusika walichukuliwa hatua gani?