Tujikumbushe kuhusu Hoteli ya Alkael Mbowe kutumia umeme wa wizi

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoani Kilimanjaro limeikatia umeme hoteli ya Aish hotel inayomilikiwa na Mbunge wa Hai (CHADEMA), Freeman Mbowe kwa madai kuwa wamebaini inatumia umeme wa wizi na kuisababishia Serikali hasara ya shilingi milioni 10.8.

Akiungumza, Meneja wa Tanesco Mkoa wa Kilimanjaro, Mahawa Mkaka, Shirika hilo limebaini jana Septemba 14 kuwa wamejiunganishia umeme na kuharibu miundo mbinu yake.

“Baada ya kupata taarifa kutoka vyanzo vyetu tulienda kwenye hoteli hiyo kufanya ukaguzi, tukabaini wameharibu mita na kujiunganishia umeme kinyemela. Hasara hiyo ya milioni 10.8 ni kwa tathmini ya awali na sasa hivi tunasubiri hesabu kutoka Tanesco makao makuu,” amesema Mkaka.
Safari hii usipochumbiwa na Chadema nitashangaa sana naona hulali bila kuitaja
 
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoani Kilimanjaro limeikatia umeme hoteli ya Aish hotel inayomilikiwa na Mbunge wa Hai (CHADEMA), Freeman Mbowe kwa madai kuwa wamebaini inatumia umeme wa wizi na kuisababishia Serikali hasara ya shilingi milioni 10.8.

Akiungumza, Meneja wa Tanesco Mkoa wa Kilimanjaro, Mahawa Mkaka, Shirika hilo limebaini jana Septemba 14 kuwa wamejiunganishia umeme na kuharibu miundo mbinu yake.

“Baada ya kupata taarifa kutoka vyanzo vyetu tulienda kwenye hoteli hiyo kufanya ukaguzi, tukabaini wameharibu mita na kujiunganishia umeme kinyemela. Hasara hiyo ya milioni 10.8 ni kwa tathmini ya awali na sasa hivi tunasubiri hesabu kutoka Tanesco makao makuu,” amesema Mkaka.
Kiwavi chawa,ndio umeibuka hoteli hiyo ya Aikaeli kuwasumbua wateja na kwa kuwanyonya damu,hatimae kumchafua na biashara yake sio.,🤔
 
Ukianza kukumbushia maujinga mliyokuwa mnawafanyia wapinzani Enzi za jiwe utaharibu! Nakutahadharisha tu kaa kwa kutulia. Maujinga yenyewe haya master minder eti Sabaya, Mnyeti na Makonda.

Usiwakumbushe watu machungu. Watu wameamua kukaa kimya kupisha maridhiano na siasa Safi, mkitaka kuwakumbusha na kuwachokonoa hamtaweza kuendelea kuwatawala
Uhakika mkuu, vifua vyetu vina siri nyingi mno na maumivu makubwa
 
Wakati fulani early 2003 kipindi hiko naishi Mabibo wakati bado tanesco wanatumia yale mamita analogue kuna nyumba ya mwenyekiti wa mtaa alikutwa amewapiga nyoka Tanesco so haya mambo yapo tu.

Na alikuwa mwana-ccm
Tabia ya wizi haina uchama. Huyu tapeli alikopa pesa NSSF (wakati huo NPF) baadaye akagoma kulipa deni hadi akafikishwa mahakamani.
 
Back
Top Bottom