Tujikumbushe kuhusu Hoteli ya Alkael Mbowe kutumia umeme wa wizi

Safari hii usipochumbiwa na Chadema nitashangaa sana naona hulali bila kuitaja
 
Kiwavi chawa,ndio umeibuka hoteli hiyo ya Aikaeli kuwasumbua wateja na kwa kuwanyonya damu,hatimae kumchafua na biashara yake sio.,🤔
 
Uhakika mkuu, vifua vyetu vina siri nyingi mno na maumivu makubwa
 
Wakati fulani early 2003 kipindi hiko naishi Mabibo wakati bado tanesco wanatumia yale mamita analogue kuna nyumba ya mwenyekiti wa mtaa alikutwa amewapiga nyoka Tanesco so haya mambo yapo tu.

Na alikuwa mwana-ccm
Tabia ya wizi haina uchama. Huyu tapeli alikopa pesa NSSF (wakati huo NPF) baadaye akagoma kulipa deni hadi akafikishwa mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…