Working class katika ubora wake, unakaa kwenye coach lako pale ivory towel, AC inakupepea na Kufikiri na Kuja mada chafu kama hii, unaelewa kabisa kuwa chaguzi zote zilikuwa chafu, 1995 uchaguzi kwa majimbo yote ya Dar ulirudiwa eti makaratasi ya kupigia kura (kutoka pale ofisi za NEC)zilichelewa!
uchaguzi wa pili unafanyika matokeo feki yakawa yanatangazwa ,lingusenguse Mkapa kura 3000na Mrema kura 3!halafu kuna watu wanatuambia yule aliyevuruga anafanyiwa mchakato awe mwenye heri!,2020 kulikua facko uchaguzi, mtoa mada endelea kula AC hapo ila huku lingusenguse hadi leo hatuna maji Safi na salama