Tujikumbushe kura za Urais Tanzania kuanzia mwaka 1995-2020, upinzani na chama tawala

Tujikumbushe kura za Urais Tanzania kuanzia mwaka 1995-2020, upinzani na chama tawala

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Tangu kuanza kwa mfumo vyama vingi Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 1990, mchakato wa kutafita Rais umekuwa ukifanyika tangu Mwaka 1995 na unaendelea kila baada ya miaka mitano.

Tujikumbushe hali ilivyokuwa kwa chama kilichoshinda dhidi ya kura za jumla za wapinzani katika kiwango cha wastani, mfano Mwaka 1995 ushindi ulikuwa 61.8%, upinzani ulipata jumla ya 38%,

2000: Ushindi 71.50%
Upinzani 28.50%

2005: Ushindi 80.30%
Upinzani 19.70%

2010: Ushindi 61.16%
Upinzani 38.84%

2015: Ushindi 58.46%
Upinzani 41.54%

2020: Ushindi 84.40%
Upinzani 15.60%

Kura za Urais.JPG
Chanzo: Tume ya Taifa ya Uchaguzi
 
Mwaka 2020 hakukuwa na uchaguzi bali UCHAFUZI ambao Magufuli alisimamia. Kura 85% apate wapi? Zile zilichapishwa na Jamana Printers kisha vijana wa TISS wakatick. Baada ya hapo DSOs wa kila wilaya wakagawiwa. Uchaguzi wa 2020 katika historia ya Tanzania utafutwa ili vizazi vijavyo visitumie takwimu FAKE. Hakuna kura iliyohesabiwa
 
Chaguzi zinazoendeshwa upande wa CCM ikiwa imekaa upande mmoja na Tume ya uchaguzi huku watu wao wakiwa na mapanga mkononi na wanachekewa na waliotarajiwa wawachulie hatua.
 
Working class katika ubora wake, unakaa kwenye coach lako pale ivory towel, AC inakupepea na Kufikiri na Kuja mada chafu kama hii, unaelewa kabisa kuwa chaguzi zote zilikuwa chafu, 1995 uchaguzi kwa majimbo yote ya Dar ulirudiwa eti makaratasi ya kupigia kura (kutoka pale ofisi za NEC)zilichelewa!

uchaguzi wa pili unafanyika matokeo feki yakawa yanatangazwa ,lingusenguse Mkapa kura 3000na Mrema kura 3!halafu kuna watu wanatuambia yule aliyevuruga anafanyiwa mchakato awe mwenye heri!,2020 kulikua facko uchaguzi, mtoa mada endelea kula AC hapo ila huku lingusenguse hadi leo hatuna maji Safi na salama
 
Back
Top Bottom