Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Lissu aliletwa na Mungu kwa lengo la kuikomboa Tanzania , uwezo wake una nguvu ya Mungu ndani yake , hafanani na watanzania wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini "mtesi wake", Mwendazake John Pombe Magufuli akafa kwa kubanwa kifua tu kwa siku moja....!!TUNDU LISU NI MSHINDI
Na, Robert Heriel
Moja ya sifa ya Mtumishi wa Mungu ni kumshuhudia Mungu kwa Matendo makuu aliyoyafanya. Tumezoea watumishi wa Mungu tuendapo kwenye nyumba za ibada wakituhadithia simulizi za kwenye misahafu kwa habari ya mambo yaliyopita miaka ya kale. Wote 8tumehadithiwa miujiza iliyofanywa na Mungu katika kipindi cha kale. Mathalani, muujiza wa Yona au Yunus kumezwa na samaki pasi na kufa, muujiza wa Daudi kumpiga Goliath au Jaluti, muujiza wa Yesu au Isa kufufuka na visa vingine vilivyomo kwenye Misahafu.
Ukweli ni kuwa visa hivyo hakuna miongoni mwetu aliyeshahidi wa kweli bali tunaviamini kwa vile tunamuamini Mungu kuwa anaweza kutenda jambo lolote.
Mungu atamkumbuka na kumbariki Askofu Mwingira wa Kanisa la EFATHA kwa kuweza kushuhudia ukuu wake kwa Tukio la kimiujiza lililomtokea Bwana Tundu Lissu.
Kama kuna kisa ambacho kingepswa kisimuliwe ndani ya nyumba za ibada kwa dini zote hapa nchini kama reference ya maajabu ya Mungu na uweza wa Mungu basi ni kisa cha Tundu Lissu.
Nampongeza Askofu Mwingira kwa kuweza kuliona hilo na kulisemea ndani ya kanisa lake.
Kwa upande wangu, mimi ni msomi mkubwa wa vitabu vya dini zote bila kujali mafundisho yake. Kwa uzoefu wa mafunzo niliyoyapata huko, ninaungana na Askofu Mwingira Tundu Lisu ni Mshindi.
Watu wote wenye elimu za kiroho, wenye elimu ya dini wataungana na mimi kuwa Mungu yupo upande wa Tundu Lisu.
EMBU FIKIRIA MAMBO HAYA
1. Tundu Lisu kapigwa Risasi kumi na sita (16) lakini kachomoa, Mungu kamponya. Tundu Lisu kashinda Risasi, kashindwa kuangamizwa na Risasi kwa uwezo wa Mungu. Bado usione kuwa Mungu yupo naye. Hata kipofu anaweza kuliona hili. Hata mtoto mdogo anaweza kulitambua hili.
2. Tundu Lisu licha ya kuwekewa vikwazo vya kila namna lakini baso anazidi kupasua anga. Nani asiyejua kuwa Lisu alifukuzwa ubunge, nani asiyejua kuwa Lisu habari zake hazitangazwi kwenye media kubwa, nani asiyejua kuwa Lisu alinusurika kufa kwa kupigwa risasi na waovu.
Lakini licha ya hayo jamaa anazidi kupata kasi, watu hawatangaziwi lakini wanajaa kwa wingi, hujiulizi ni kwa nini, hakuna matangazo, hakuna wasanii, hakuna burudani, miundombinu ya vipaza sauti ni duni lakini watu hawajali wanamfuata, hujiulizi sababu ni nini? Lisu ni mshindi
3. Lissu ni Jasiiri, anatumia kanuni isemayo; Binadamu wote ni sawa mbele za Mungu. Pia usiabudu miungu mingine ila Mungu Peke yake.
Moja ya dalili ya mtu akaaye na roho wa Mungu ni hili. Mtu wa Mungu anawachukulia wanadamu wote ni sawa mbele za Mungu. Hasujudu mtu kwa cheo chake, hasujudu mtu kwa pesa zake, asujudu mtu kwa nguvu zake, ukikosea anakukosoa kwa nguvu zote bila kukuonea haya. Lisu mara kwa mara amesisitiza kuwa Rais ni mtu kama watu wengine. kwa nini asishtakiwe, yeye ni nani wakati ni binadamu kama watu wengine. Lisu mara kwa mara ameonyesha msimamo wake dhidi ya Rais pale amuonapo Rais akikosea.
Lisu anatabia za kinabii, moja ya tabia za kinabii ni kukemea uovu pasipokujali mtenda maovu atafanya nini.
4. Lissu anaogopeka
Mtu yeyote ateteaye haki na akabaki na msimamo huo huo mpaka kufikia kupata madhara na akachomoa, mara zote huogopeka. Kwani watu wote huanza kuhisi kuwa hayupo pekeake, kuna nguvu ya ziada nyuma yake.
Nitatoa mifano,
Daudi alikuwa haogopwi mahali popote pale. Lakini tukio la kumchapa Goliath lilibadilisha taswira nzima ya fikra za watu dhidi ya Daudi. Hata hivyo bado Mfalme Sauli hakumuogopa Daudi. Mpaka siku Mfalme Sauli alipotaka kumuua Daudi kwa kumpiga Mkuki akamkosa, na kama Daudi angetaka kumuua angemuua lakini Daudi aliruka dirishani kutoka ghorofani akasepa. Hapo Mfalme Sauli akaogopa, akajua kuwa sipigani na Daudi bali napigana na Nguvu nyingine ya ziada ambayo baadaye aliijua ni nguvu ya Mungu.
Mfano wa Pili,
Kina Shadrack, meshack na Abednego, hawakuwa chochote mbele za watu lakini walikuwa ni watu wazito mbele ya Mungu. Watu walikuwa wanawachukulia poa, lakini baada ya kukataa kusujudia sanamu ya Mfalme Nebukadreza, huku wakiwa na ujasiri kuwa hata Mungu asipotusaidia mbele ya Moto wa Tanuru bado hawatasujudia sanamu. Walitupwa kwenye tanuru, na hapo hapo muujiza ukatokea, hawakuungua. Wakaambiwa watoke nje ya Tanuru. Walitupwa wakiwawanazomewa lakini wakatolewa kwa kunyenyekewa. Kuogopwa.
Mifano ipo Mingi, ipo mifano ya Daniel, Paulo na Sila, Mtume Muhamad.
Kitu kimoja kikubwa watu wasichokijua ni kuwa, mtu yeyote anayepingana na udhalimu kwa ngazi ya kitaifa au kimataifa huyo ni Mtume wa Mungu.
Tundu Lisu ni Mshindi kwa sababu yupo na Mungu.
5. Kukimbia uhamishoni
Mashujaa wengi karibu wote walikimbilia uhamishoni kwa sababu mbalimbalio. Nitaanzia kwenye Biblia, Nabii Musa alikimbia Kutoka Misri kwenda nchi ya Midian, kisa na mkasa alikimbia mkono wa Farao baada ya kumuua mmisri akiwa anamtetea muisrael mwenzake. Baadaye alirudi kuwakomboa waisrael.
Nabii Eliya alimkimbia Malikia Yezebeli ambaye alitaka kumuua kisa na mkasa alikuwa mkosoaji mkubwa wa ufalme wake, na hakutaka kuungana naye. Baadaye Eliya alirudi akawaangamiza majeshi ya manabii bandia wa Yezebeli
Nabii Daudi alikimbia Yerusalemu akimkimbia Mwanaye Absalomu ambaye alitaka kumpindua. Baadaye Daudi alirejea na kuikomboa nchi yake.
Yesu wa Nazareth, alitoroshwa na kukimbizwa uhamishoni huko Misri akitokea Uyahudini akimkimbia Mfalme Herode aliyetaka kumuua. Yesu alirejeshwa na wazazi wake kutoka Misri uhamishoni na kurudi Uyahudini baada ya Mfalme Herode Kufariki.
Mifano ni Mingi.
Tundu Lisu naye anaingia kwenye Rekodi ya kupelekwa uhamishoni baada ya kupigwa Risasi 16 na kuponeshwa na Mungu.
Wanaosema Lisu ni Mbeligiji na kibaraka wa wabeligiji wasilaumiwe. Bali waonewe huruma kwa sababu hata zamani walikuwepo waliosema;
Yesu ni Mmisri kisa na mkasa alikimbizwa huko Misiri kwa kuogopa kuuawa na Mfalme Herode
Pia walisema Musa ni Mmidiani kisa na Mkasa alikimbia mkono wa Farao na kulowea umidiani mpaka akapata mke huko
Kumbuka: Yesu alikaa uhamishoni zaidi ya miaka 10
Musa alikaa uhamishoni zaidi ya miaka 20 alirudi akiwa na miaka 40
Musa alikaa uhamishoni kwa zaidi ya mwaka mmoja.
Tundu Lisu amekaa uhamishoni kwa miaka mitatu.
Kitu kimoja cha kuzingatia ni kuwa watu wote waliopambana na watu Kama Tundu Lisu walikuwa wanajua wanapambana na Mungu. kutokana na miujiza iliyokuwa inatokea.
Hata sasa wanaopambana na Lisu wanafahamu kuwa wanapambana na Mungu. Huwezi mpiga mtu Risasi 16 alafu akawa hai alafu bado usielewe upo kwenye vita na nani. Labda uwe kichaa.
Mara nyingi wanaoendelea kupambana na watu wa Mungu huishia kuangamia. Huwezi pambana na mshindi ukabaki salama. Kitendo cha Mungu kukuonyesha uwezo wake bila kukuathiri wewe ni dalili tosha kuwa unapewa WARNING, na yeyote ashupazaye shingo yake itavunjika.
Nashukurru sana Askofu Mwingira wa Kanisa la EFATHA kwa ujumbe wako. Mwenye kusikia na asikiye, asiyetaka kusikia azidishe kiburi na jeuri.
Mshindi hatishiwi na jeshi
Mshindi hatishiwi na silaha
Mshindi hatishiwi na jela
Mshindi hatishiwi na maneno ya kipuuzi
Mshindi hatishiwi na matokeo ya kutetea haki
Nami haya nimeyashuhudia kwa macho yangu, Ole wangu nisipompa Mungu utukufu kwa yale niliyoyaona kwa macho yangu.
Mwisho: Mche Mungu na uzishike amri zake, kwa maana muda tulionao ni mchache wala asitokee wa kutulaghai.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Morogoro
0693322300
Robert Hili Bandiko lako tulifanyie Lamination tuliweke hifadhi pale Musseum Bagamoyo iwe urithi wa dunia vizazi na vizazi.TUNDU LISU NI MSHINDI

Bandiko la leo limenifanya nirejee Ukuu wa Mungu uliofunuliwa ktk vitabu vyake matukio ktk Kitaby cha Nabii Samweli, Waamuzi, Wafalme wa kwanza na wa pili lakinj pia katika kitabu cha mambo ya nyakati wakwanza na wapili.Mkuu, sijawahi kusoma stori kama hii yako popote, hasa kuhusu hao watu wengi uliowataja humo waliokuwa na mkono wa Mungu juu yao.
Bila shaka, hata kule kwenye misahafu ya Kiislam, huenda pia wapo watu kama hawa. Mada yako ingekamilika zaidi, kama nako tutatajiwa watu wa namna hii.
Sijui hatma ya maisha ya Lissu itakavyokuwa katika uhai wake aliojaliwa na Muumba wake. Lakini lile tukio tu la kunusurika katika tendo la kutisha lile liliomtokea, ni dhahiri maisha yake yatakuwa ni tofauti sana na ya watu wengine.
Wewe fikiria maajabu yanayoambatana na jambo hili.
Mtu mwenye akili zake, anajitia kiburi, tena maksudi tu, kudharau ugonjwa ambao dunia nzima inahangaika nao. Anashupaza moyo, licha ya kuona watu wanaomzunguka wakidondoka mbele zake, yeye hastuki.
Kwenye dini anakojionyesha yeye ni muumini wake, wanamlilia, watu wao wanadondoka, yeye roho inazidi kuwa ngumu hadi kwenda kuwakaripia viongozi wa kanisa, kujionyesha yeye ndiye anajuwa zaidi ya wao kuhusu imani zao kwa Mungu.
Matukio yote haya bado mtu haoni tatizo...,; Mungu akaamua kuwaondolea mzigo viumbe wake. Ilikuwa ni hatari sana kwa kiongozi yule kuendelea kuwepo kwenye uongozi wa nchi hii.
Lakini nami ngoja niweke ramli yangu:
Kuna kiongozi wa nchi hii aliyetokea kuipenda sana nchi yake na watu wake. Kama binaadam tulivyo sote, wakati wa uhai wake ni lazima awe amefanya makosa ya kawaida kama sisi sote kwa ubinaadam wetu ulivyo.
Kiongozi huyu alikuwa ni mcha Mungu ambaye, tofauti kabisa na maonyesho aliyokuwa akiyafanya huyu tunayemuongelea hapa, yeye imani yake haikuwa ya kujionyesha kwa watu wamwone ni mcha Mungu.
Kiongozi wetu huyo, kwa kutambua ucha Mungu wake, kwa taratibu za madhehebu yake, amewekewa mchakato wa kumtambua kama "Mtakatifu."
Moja wapo ya matakwa ya kufikia ngazi hiyo, pamoja na mambo mengine, ni kuonyesha ishara ya namna fulani inayohusishwa na anayetafutiwa sifa ya "Utakatifu".
shahidi huo huja kwa njia mbali mbali na matukio mbalimbali yanayotokea.
Kwa mara ya Kwanza, binafsi natamka hapa, nikiwa na akili timamu na bila ya kusukumwa na mtu yeyote niyaseme haya:
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere asingependa nchi yake aliyoipenda sana, na wananchi wake wapate usumbufu ambao wangeushuhudia chini ya utawala wa miaka na miaka ambao Magufuli angeuendesha hapa. Taifa hili lingehangaika sana.
Ishara: Palikuwepo na tetemeko la ardhi, siku ya kifo cha Magufuli, eneo husika lilianzia Mkoa wa Mara na kuishia mkoa wa Geita.
Niite jina lolote utakalotaka kuniita tokea leo hapa JF, sitajali. Sijapoteza fahamu zangu na ni mzima wa bhuheri.
Hapa nimetiririka tu, kama kuna makosa ya uandishi, elewa sikuhariri kitu.
Mwenyezi Mungu hata dunia nzima ikwa ovu ana kawaida ya kujisazia watu wake waadilifu na wakumuabudu.Tundu Antipas Lissu ni mtu pekee aliyesimamia anachoamini kuwa ni sahihi kikatiba pia kisheria na kuthubutu kutoterereka kuukosoa utawala wa awamu ya tano pale ulipokengeuka.
Wengine kwa wingi wawe wanasheria, wabunge, mahakimu, majaji n.k waliamua kutetereka kwa hofu na kukubali kumfurahisha mwenye mamlaka, ni wachache ktk cadre hii waliweza kupaza sauti kupinga uonevu, mabavu na ukatili uliotamalaki katika miaka 5 na miezi 5 ya utawala wa awamu ya tano.
Ni hatua nzuri sana anayofanya. Watanzia hatuhitaji kuwekewa pesa mifukoni kwani tunajihangaikia sisi wenyewe. Tunataka Haki na amani vitawale.Mama Samia anachofanya ni kuleta utulivu na Amani Kwa baadhi ya wahanga.
Nchi inaweza isiwe tajiri lakini watu wake wakawa na furaha ikiwa makundi yote yataheshimiwa
Nikweli ukimuona juu juu unaona alikuwa na furaha lakini it was fake happyness. Tukio la Lisuu pamoja naMambo mengine ni matukio yaliyomnyima furaha hadi anafika kaburini.Wakati mwingine huwa nawaza huenda zile risasi ziliharakisha kifo cha jiwe kwa sababu hakuamini alichokiona!
EltwejeTUNDU LISU NI MSHINDI
Na, Robert Heriel
Moja ya sifa ya Mtumishi wa Mungu ni kumshuhudia Mungu kwa Matendo makuu aliyoyafanya. Tumezoea watumishi wa Mungu tuendapo kwenye nyumba za ibada wakituhadithia simulizi za kwenye misahafu kwa habari ya mambo yaliyopita miaka ya kale. Wote 8tumehadithiwa miujiza iliyofanywa na Mungu katika kipindi cha kale. Mathalani, muujiza wa Yona au Yunus kumezwa na samaki pasi na kufa, muujiza wa Daudi kumpiga Goliath au Jaluti, muujiza wa Yesu au Isa kufufuka na visa vingine vilivyomo kwenye Misahafu.
Ukweli ni kuwa visa hivyo hakuna miongoni mwetu aliyeshahidi wa kweli bali tunaviamini kwa vile tunamuamini Mungu kuwa anaweza kutenda jambo lolote.
Mungu atamkumbuka na kumbariki Askofu Mwingira wa Kanisa la EFATHA kwa kuweza kushuhudia ukuu wake kwa Tukio la kimiujiza lililomtokea Bwana Tundu Lissu.
Kama kuna kisa ambacho kingepswa kisimuliwe ndani ya nyumba za ibada kwa dini zote hapa nchini kama reference ya maajabu ya Mungu na uweza wa Mungu basi ni kisa cha Tundu Lissu.
Nampongeza Askofu Mwingira kwa kuweza kuliona hilo na kulisemea ndani ya kanisa lake.
Kwa upande wangu, mimi ni msomi mkubwa wa vitabu vya dini zote bila kujali mafundisho yake. Kwa uzoefu wa mafunzo niliyoyapata huko, ninaungana na Askofu Mwingira Tundu Lisu ni Mshindi.
Watu wote wenye elimu za kiroho, wenye elimu ya dini wataungana na mimi kuwa Mungu yupo upande wa Tundu Lisu.
EMBU FIKIRIA MAMBO HAYA
1. Tundu Lisu kapigwa Risasi kumi na sita (16) lakini kachomoa, Mungu kamponya. Tundu Lisu kashinda Risasi, kashindwa kuangamizwa na Risasi kwa uwezo wa Mungu. Bado usione kuwa Mungu yupo naye. Hata kipofu anaweza kuliona hili. Hata mtoto mdogo anaweza kulitambua hili.
2. Tundu Lisu licha ya kuwekewa vikwazo vya kila namna lakini baso anazidi kupasua anga. Nani asiyejua kuwa Lisu alifukuzwa ubunge, nani asiyejua kuwa Lisu habari zake hazitangazwi kwenye media kubwa, nani asiyejua kuwa Lisu alinusurika kufa kwa kupigwa risasi na waovu.
Lakini licha ya hayo jamaa anazidi kupata kasi, watu hawatangaziwi lakini wanajaa kwa wingi, hujiulizi ni kwa nini, hakuna matangazo, hakuna wasanii, hakuna burudani, miundombinu ya vipaza sauti ni duni lakini watu hawajali wanamfuata, hujiulizi sababu ni nini? Lisu ni mshindi
3. Lissu ni Jasiiri, anatumia kanuni isemayo; Binadamu wote ni sawa mbele za Mungu. Pia usiabudu miungu mingine ila Mungu Peke yake.
Moja ya dalili ya mtu akaaye na roho wa Mungu ni hili. Mtu wa Mungu anawachukulia wanadamu wote ni sawa mbele za Mungu. Hasujudu mtu kwa cheo chake, hasujudu mtu kwa pesa zake, asujudu mtu kwa nguvu zake, ukikosea anakukosoa kwa nguvu zote bila kukuonea haya. Lisu mara kwa mara amesisitiza kuwa Rais ni mtu kama watu wengine. kwa nini asishtakiwe, yeye ni nani wakati ni binadamu kama watu wengine. Lisu mara kwa mara ameonyesha msimamo wake dhidi ya Rais pale amuonapo Rais akikosea.
Lisu anatabia za kinabii, moja ya tabia za kinabii ni kukemea uovu pasipokujali mtenda maovu atafanya nini.
4. Lissu anaogopeka
Mtu yeyote ateteaye haki na akabaki na msimamo huo huo mpaka kufikia kupata madhara na akachomoa, mara zote huogopeka. Kwani watu wote huanza kuhisi kuwa hayupo pekeake, kuna nguvu ya ziada nyuma yake.
Nitatoa mifano,
Daudi alikuwa haogopwi mahali popote pale. Lakini tukio la kumchapa Goliath lilibadilisha taswira nzima ya fikra za watu dhidi ya Daudi. Hata hivyo bado Mfalme Sauli hakumuogopa Daudi. Mpaka siku Mfalme Sauli alipotaka kumuua Daudi kwa kumpiga Mkuki akamkosa, na kama Daudi angetaka kumuua angemuua lakini Daudi aliruka dirishani kutoka ghorofani akasepa. Hapo Mfalme Sauli akaogopa, akajua kuwa sipigani na Daudi bali napigana na Nguvu nyingine ya ziada ambayo baadaye aliijua ni nguvu ya Mungu.
Mfano wa Pili,
Kina Shadrack, meshack na Abednego, hawakuwa chochote mbele za watu lakini walikuwa ni watu wazito mbele ya Mungu. Watu walikuwa wanawachukulia poa, lakini baada ya kukataa kusujudia sanamu ya Mfalme Nebukadreza, huku wakiwa na ujasiri kuwa hata Mungu asipotusaidia mbele ya Moto wa Tanuru bado hawatasujudia sanamu. Walitupwa kwenye tanuru, na hapo hapo muujiza ukatokea, hawakuungua. Wakaambiwa watoke nje ya Tanuru. Walitupwa wakiwawanazomewa lakini wakatolewa kwa kunyenyekewa. Kuogopwa.
Mifano ipo Mingi, ipo mifano ya Daniel, Paulo na Sila, Mtume Muhamad.
Kitu kimoja kikubwa watu wasichokijua ni kuwa, mtu yeyote anayepingana na udhalimu kwa ngazi ya kitaifa au kimataifa huyo ni Mtume wa Mungu.
Tundu Lisu ni Mshindi kwa sababu yupo na Mungu.
5. Kukimbia uhamishoni
Mashujaa wengi karibu wote walikimbilia uhamishoni kwa sababu mbalimbalio. Nitaanzia kwenye Biblia, Nabii Musa alikimbia Kutoka Misri kwenda nchi ya Midian, kisa na mkasa alikimbia mkono wa Farao baada ya kumuua mmisri akiwa anamtetea muisrael mwenzake. Baadaye alirudi kuwakomboa waisrael.
Nabii Eliya alimkimbia Malikia Yezebeli ambaye alitaka kumuua kisa na mkasa alikuwa mkosoaji mkubwa wa ufalme wake, na hakutaka kuungana naye. Baadaye Eliya alirudi akawaangamiza majeshi ya manabii bandia wa Yezebeli
Nabii Daudi alikimbia Yerusalemu akimkimbia Mwanaye Absalomu ambaye alitaka kumpindua. Baadaye Daudi alirejea na kuikomboa nchi yake.
Yesu wa Nazareth, alitoroshwa na kukimbizwa uhamishoni huko Misri akitokea Uyahudini akimkimbia Mfalme Herode aliyetaka kumuua. Yesu alirejeshwa na wazazi wake kutoka Misri uhamishoni na kurudi Uyahudini baada ya Mfalme Herode Kufariki.
Mifano ni Mingi.
Tundu Lisu naye anaingia kwenye Rekodi ya kupelekwa uhamishoni baada ya kupigwa Risasi 16 na kuponeshwa na Mungu.
Wanaosema Lisu ni Mbeligiji na kibaraka wa wabeligiji wasilaumiwe. Bali waonewe huruma kwa sababu hata zamani walikuwepo waliosema;
Yesu ni Mmisri kisa na mkasa alikimbizwa huko Misiri kwa kuogopa kuuawa na Mfalme Herode
Pia walisema Musa ni Mmidiani kisa na Mkasa alikimbia mkono wa Farao na kulowea umidiani mpaka akapata mke huko
Kumbuka: Yesu alikaa uhamishoni zaidi ya miaka 10
Musa alikaa uhamishoni zaidi ya miaka 20 alirudi akiwa na miaka 40
Musa alikaa uhamishoni kwa zaidi ya mwaka mmoja.
Tundu Lisu amekaa uhamishoni kwa miaka mitatu.
Kitu kimoja cha kuzingatia ni kuwa watu wote waliopambana na watu Kama Tundu Lisu walikuwa wanajua wanapambana na Mungu. kutokana na miujiza iliyokuwa inatokea.
Hata sasa wanaopambana na Lisu wanafahamu kuwa wanapambana na Mungu. Huwezi mpiga mtu Risasi 16 alafu akawa hai alafu bado usielewe upo kwenye vita na nani. Labda uwe kichaa.
Mara nyingi wanaoendelea kupambana na watu wa Mungu huishia kuangamia. Huwezi pambana na mshindi ukabaki salama. Kitendo cha Mungu kukuonyesha uwezo wake bila kukuathiri wewe ni dalili tosha kuwa unapewa WARNING, na yeyote ashupazaye shingo yake itavunjika.
Nashukurru sana Askofu Mwingira wa Kanisa la EFATHA kwa ujumbe wako. Mwenye kusikia na asikiye, asiyetaka kusikia azidishe kiburi na jeuri.
Mshindi hatishiwi na jeshi
Mshindi hatishiwi na silaha
Mshindi hatishiwi na jela
Mshindi hatishiwi na maneno ya kipuuzi
Mshindi hatishiwi na matokeo ya kutetea haki
Nami haya nimeyashuhudia kwa macho yangu, Ole wangu nisipompa Mungu utukufu kwa yale niliyoyaona kwa macho yangu.
Mwisho: Mche Mungu na uzishike amri zake, kwa maana muda tulionao ni mchache wala asitokee wa kutulaghai.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Morogoro
0693322300
Mungu alikuwa na makusudi yakeLissu aliletwa na Mungu kwa lengo la kuikomboa Tanzania , uwezo wake una nguvu ya Mungu ndani yake , hafanani na watanzania wengine
Msameheni tu .Eltweje
Anasema akitua tena watamuua.
Huyu ni mwana JF anayehubiri chuki na vitisho kwa ariya wengine ... lakini bado tunaye tuuu
Ukiangalia vitimbwi vya uchaguzi. Kwakweli JPM asingemaliza miezi sita.Moja ya kitu kilichokata umeme wa pacemaker ya jiwe, mbali na korona ni mawazo yaliyokithiri juu ya Tundu Lisu.
Jiwe alimfanyia Lisu uovu wa kila aina lkn bado jina lake likaendelea kupaa juu. Hiki kilimpa msongo wa mawazo sana jiwe kinga ya mwili ikashuka. Korona iligusa tu.
Uzi umetulia ile mbayaUzi murua. Kuna kitu hata Mimi kinanishangaza Sana kuhusu Lisu. Alitaka kuuawa na Magufuli. Akaenda Ubelligiji kutibiwa. Kinyume na matakwa ya Magufuli,akarudi. Hofu ya Mungu ikawaangukia Magufuli na genge lake! Wakaufyata. Walipokuja kutahamaki, Mkuu karibu achukue nchi. Wakataharuki, wakaingiza majeshi kuharibu uchaguzi maana hawakuwa na jinsi. Nchi tayari ilikuwa imekwenda.
Walipojaribu kumkamata, hofu ya Mungu ikawaangukia. Wakamwacha, akaondoka mbele yao mchana kweupe!!! Nyuma adui yake mkuu, Sauli, akaanguka kwa mikuki ya mbigili!
Eti akina Ndugai wanajitutumua! Thubutu!!!