Tujikumbushe: Lissu ni Mshindi

Tujikumbushe: Lissu ni Mshindi

Hata wanaojiita Tiss wanamjua.
Ndio maana wanuogopa zaidi ya vita.
LISSU tu Ndiye Kiboko wa CCM...Masisiem Kama anavyowahita Walikuwa Wanamwombea Mpambe Wao Nyarandu Lazaro Apitishwe Kama Mgombea Uraisi Kupitia CHADEMA ili Kazi yao Iwe Rahisi. Lissu ni Kiboko ya CCM na wao Wanaujua Ukweli huo..
 
Hongera Sana mleta Mada. Ni vema Mada hii ikapewa tuzo maalum kwa ukumbusho. Pascal Mayala ameshindwa hata kutoa neno. Asante Mungu.
 
1625078332934.png

Be Lissu
 
Pamoja na 'ucha Mungu' na 'ujasiri' wake wote, Lissu hakohoi kwa Mbowee. Hajawahi kumkemea kwa kuwa mwenyekiti wa chama kwa miaka 20.
Badala yake, Lissu alikuwa mstari wa mbele kuhakikisha Zitto na Kitila wanafukuzwa uwanachama kwa sababu ya kumchallange mwenyekiti.

Hilo la kupigwa risasi na kupona kweli ni muujiza wa Mungu, lakini tusimkuze sana ana mapungufu yake.
 
Hakika dunia nzima ilishangaa,mtu kapigwa risasi zote zile lakini hakufa,nadhani waliopanga na kufanya lile tukio wamebaki wachache,wengi wametangulia wao walietaka kumtanguliza kabaki
 
Pamoja na 'ucha Mungu' na 'ujasiri' wake wote, Lissu hakohoi kwa Mbowee. Hajawahi kumkemea kwa kuwa mwenyekiti wa chama kwa miaka 20.
Badala yake, Lissu alikuwa mstari wa mbele kuhakikisha Zitto na Kitila wanafukuzwa uwanachama kwa sababu ya kumchallange mwenyekiti.

Hilo la kupigwa risasi na kupona kweli ni muujiza wa Mungu, lakini tusimkuze sana ana mapungufu yake.

Umesema ukweli Kwa upande wa pili
 
Hii mechi lazima ingeisha hivi.

Mshindwa Kama angetaka kutoa Suluhu kwenye hili pambano angepaswa kudai maridhiano lakini kushupaza shingo kumelazimisha matokeo yasiwe upande wake
Ipo siku Itajulikana kwani Mungu alimponya Lissu na kifo kwa risasi
 
Kuhusu Jiwe na Lissu kwangu mimi Lissu ndiye mshindi...maana mwendazake kakimbilia kuzimu kamwacha lissu anadunda.

Ni kweli ulimwengu huu haujajiumba. Mchimba kaburi..kaingia mwenyewe.
 
Kuhusu Jiwe na Lissu kwangu mimi Lissu ndiye mshindi...maana mwendazake kakimbilia kuzimu kamwacha lissu anadunda.

Ni kweli ulimwengu huu haujajiumba. Mchimba kaburi..kaingia mwenyewe.
he who digieth the pit shall bury in himself🤣🤣
 
Back
Top Bottom