Tujikumbushe: Lissu ni Mshindi

Ningetamani Sana nabii efata mwingira kumleta Moja kwa moja lisu kanisani kwake ili watu waaamini kbsa mnk tz Ni wazaahaulifu Sana. Nitamuandikia mwingira barua ili kusud kumleta lisu Apo mwenge kwa ushuhuda sahii na zahiri juu ya kuepuka kifo Cha kupangwa
 
Lakini "mtesi wake", Mwendazake John Pombe Magufuli akafa kwa kubanwa kifua tu kwa siku moja....!!
 
Mkuu, sijawahi kusoma stori kama hii yako popote, hasa kuhusu hao watu wengi uliowataja humo waliokuwa na mkono wa Mungu juu yao.

Bila shaka, hata kule kwenye misahafu ya Kiislam, huenda pia wapo watu kama hawa. Mada yako ingekamilika zaidi, kama nako tutatajiwa watu wa namna hii.

Sijui hatma ya maisha ya Lissu itakavyokuwa katika uhai wake aliojaliwa na Muumba wake. Lakini lile tukio tu la kunusurika katika tendo la kutisha lile liliomtokea, ni dhahiri maisha yake yatakuwa ni tofauti sana na ya watu wengine.

Wewe fikiria maajabu yanayoambatana na jambo hili.
Mtu mwenye akili zake, anajitia kiburi, tena maksudi tu, kudharau ugonjwa ambao dunia nzima inahangaika nao. Anashupaza moyo, licha ya kuona watu wanaomzunguka wakidondoka mbele zake, yeye hastuki.
Kwenye dini anakojionyesha yeye ni muumini wake, wanamlilia, watu wao wanadondoka, yeye roho inazidi kuwa ngumu hadi kwenda kuwakaripia viongozi wa kanisa, kujionyesha yeye ndiye anajuwa zaidi ya wao kuhusu imani zao kwa Mungu.

Matukio yote haya bado mtu haoni tatizo...,; Mungu akaamua kuwaondolea mzigo viumbe wake. Ilikuwa ni hatari sana kwa kiongozi yule kuendelea kuwepo kwenye uongozi wa nchi hii.

Lakini nami ngoja niweke ramli yangu:

Kuna kiongozi wa nchi hii aliyetokea kuipenda sana nchi yake na watu wake. Kama binaadam tulivyo sote, wakati wa uhai wake ni lazima awe amefanya makosa ya kawaida kama sisi sote kwa ubinaadam wetu ulivyo.

Kiongozi huyu alikuwa ni mcha Mungu ambaye, tofauti kabisa na maonyesho aliyokuwa akiyafanya huyu tunayemuongelea hapa, yeye imani yake haikuwa ya kujionyesha kwa watu wamwone ni mcha Mungu.

Kiongozi wetu huyo, kwa kutambua ucha Mungu wake, kwa taratibu za madhehebu yake, amewekewa mchakato wa kumtambua kama "Mtakatifu."

Moja wapo ya matakwa ya kufikia ngazi hiyo, pamoja na mambo mengine, ni kuonyesha ishara ya namna fulani inayohusishwa na anayetafutiwa sifa ya "Utakatifu".
shahidi huo huja kwa njia mbali mbali na matukio mbalimbali yanayotokea.
Kwa mara ya Kwanza, binafsi natamka hapa, nikiwa na akili timamu na bila ya kusukumwa na mtu yeyote niyaseme haya:

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere asingependa nchi yake aliyoipenda sana, na wananchi wake wapate usumbufu ambao wangeushuhudia chini ya utawala wa miaka na miaka ambao Magufuli angeuendesha hapa. Taifa hili lingehangaika sana.

Ishara: Palikuwepo na tetemeko la ardhi, siku ya kifo cha Magufuli, eneo husika lilianzia Mkoa wa Mara na kuishia mkoa wa Geita.

Niite jina lolote utakalotaka kuniita tokea leo hapa JF, sitajali. Sijapoteza fahamu zangu na ni mzima wa bhuheri.


Hapa nimetiririka tu, kama kuna makosa ya uandishi, elewa sikuhariri kitu.
 
Robert Hili Bandiko lako tulifanyie Lamination tuliweke hifadhi pale Musseum Bagamoyo iwe urithi wa dunia vizazi na vizazi.

Nawe ni Mtumishi Mwaminifu ume ukiri Ukuu wa Mungu kwa kinywa chako na kipawa chako cha uandishi. Barikiwa sana.
 
Tundu Antipas Lissu ni mtu pekee aliyesimamia anachoamini kuwa ni sahihi kikatiba pia kisheria na kuthubutu kutoterereka kuukosoa utawala wa awamu ya tano pale ulipokengeuka.

Wengine kwa wingi wawe wanasheria, wabunge, mahakimu, majaji n.k waliamua kutetereka kwa hofu na kukubali kumfurahisha mwenye mamlaka, ni wachache ktk cadre hii waliweza kupaza sauti kupinga uonevu, mabavu na ukatili uliotamalaki katika miaka 5 na miezi 5 ya utawala wa awamu ya tano.
 
Bandiko la leo limenifanya nirejee Ukuu wa Mungu uliofunuliwa ktk vitabu vyake matukio ktk Kitaby cha Nabii Samweli, Waamuzi, Wafalme wa kwanza na wa pili lakinj pia katika kitabu cha mambo ya nyakati wakwanza na wapili.

Kuna ufanano wa historia hizo na Tukio la Tundu Lissu
 
Mwenyezi Mungu hata dunia nzima ikwa ovu ana kawaida ya kujisazia watu wake waadilifu na wakumuabudu.

Tundu Lissu hakuongozwa tu na taaluma yake ya sheria na uwakili bali Roho mtakatifu.

Ktk Kitabu cha Daniel sura ya kwanza na ya pili utaona jinsi Daniel na wenzake walivyoishi tofuti kabisa na Raia wengine ktk nchi ya Babeli. ungewesa kuona kabisa akina Daniel ni wakaida na walikuwa wanachezea kifo. Nebkadreza alikuwa hachezewi na mtu. Lakini wao walisimamia ukweli na hatimaye Mungu akaonekana kati kati yao.

Atleast Mfalme Nebkadreza alipoona tukio la Meshaki, Shadrack na Abedenego wamepona kwenye tanuru liwakalo moto mkali hata nywele zao zisibabuke wala nguo walizovaa zisinuke moshi alishtuka akajua haoa nadeal na nguvu nyingine. Alikubali yaishe akawapa vyeo na akaaigiza nchi nzima wale vijana wasisumbuliwe. Na kwamba Mungu wao anapaswa kuwa ndio Mungu wa kuabudiwa nchi yote ya Babeli.

Hapa kwetu Jamaa akashupaza shingo.
 
Mama Samia anachofanya ni kuleta utulivu na Amani Kwa baadhi ya wahanga.

Nchi inaweza isiwe tajiri lakini watu wake wakawa na furaha ikiwa makundi yote yataheshimiwa
Ni hatua nzuri sana anayofanya. Watanzia hatuhitaji kuwekewa pesa mifukoni kwani tunajihangaikia sisi wenyewe. Tunataka Haki na amani vitawale.
 
Wakati mwingine huwa nawaza huenda zile risasi ziliharakisha kifo cha jiwe kwa sababu hakuamini alichokiona!
Nikweli ukimuona juu juu unaona alikuwa na furaha lakini it was fake happyness. Tukio la Lisuu pamoja naMambo mengine ni matukio yaliyomnyima furaha hadi anafika kaburini.
 
Moja ya kitu kilichokata umeme wa pacemaker ya jiwe, mbali na korona ni mawazo yaliyokithiri juu ya Tundu Lisu.

Jiwe alimfanyia Lisu uovu wa kila aina lkn bado jina lake likaendelea kupaa juu. Hiki kilimpa msongo wa mawazo sana jiwe kinga ya mwili ikashuka. Korona iligusa tu.
 
Akiongea kama meneja wa.bank aliyokopa Tundu lisu yule speaker Ndugai alisema..... bank wamechukua!
Issues za bank ni Siri kati ya bank na mateja wao! Yeye alijuaje????
 
Eltweje
Anasema akitua tena watamuua.
Huyu ni mwana JF anayehubiri chuki na vitisho kwa ariya wengine ... lakini bado tunaye tuuu
 
Ukiangalia vitimbwi vya uchaguzi. Kwakweli JPM asingemaliza miezi sita.
 
Uzi murua. Kuna kitu hata Mimi kinanishangaza Sana kuhusu Lisu. Alitaka kuuawa na Magufuli. Akaenda Ubelligiji kutibiwa. Kinyume na matakwa ya Magufuli,akarudi. Hofu ya Mungu ikawaangukia Magufuli na genge lake! Wakaufyata. Walipokuja kutahamaki, Mkuu karibu achukue nchi. Wakataharuki, wakaingiza majeshi kuharibu uchaguzi maana hawakuwa na jinsi. Nchi tayari ilikuwa imekwenda.
Walipojaribu kumkamata, hofu ya Mungu ikawaangukia. Wakamwacha, akaondoka mbele yao mchana kweupe!!! Nyuma adui yake mkuu, Sauli, akaanguka kwa mikuki ya mbigili!
Eti akina Ndugai wanajitutumua! Thubutu!!!
 
Uzi umetulia ile mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…