Tujikumbushe: Lissu ni Mshindi

mkuu unatukumbusha nyuma ,zile taarifa ziliishtua nchi kwa ghafla.Ila pia kama kuna mahali wengine walionyesha rangi zao ni wakati ule.Yaani mwenzako anashambuliwa na risasi 16 halafu ,hakuna pole wala nini tamko lolote la kulaani linatoka.Palionyesha chuki za ajabu ambazo kama nchi hatukuzizoea.kwamba mwenzako akipata tatizo basi hata pole ya kinafiki anapata.

Anyway nadhani uadui wa namna hii hautakuja kutokea tena hapa nchini. Mtu anapigwa kama jambazi akiwa kazini halafu habari ya tukio ina KAWAIDISHWA tuu.

Nadhani lile gari lake lingewekwe makumbusho jumba la makumbusho ya Taifa kwamba kuna mwaka Mbunge alishambuliwa akiwa kazini na risasi 16 ila akapona
 
Nimekupenda uwasilishaji wako. Kama riwaya fulani hivi
 
Na nchi nzima ilijawa na huzuni sana na huruma kuu kwa Lissu
 
Zilikuwa risasi 38 si 16, Ila 16 ndizo ziliingia mwilini.
 
Wakati mwingine huwa nawaza huenda zile risasi ziliharakisha kifo cha jiwe kwa sababu hakuamini alichokiona!
Ndiyo maana alimchukia sana Bashite baada ya kuharibu jaribio kwa kimbelembele chake
Kumbukeni ile kauli kuwachukia watoto wa miaka ya 1982
 
Mshindi wa nini? ( Jitu Lililokimbia Nchi Yake ) Mnalishana ujinga kwa vihoja vya hovyo hovyo!
 
Kuanzia wakati ule hadi wakati wa uchaguzi ndio nilichagua marafiki wa kuwa nao. Sipendi watu wenye roho mbaya. Nikijua namna baadhi ya watanzania walivyo na roho za kimaskini na ushamba. Niliachana nao hadi leo.
 
Mshindi wa nini? ( Jitu Lililokimbia Nchi Yake ) Mnalishana ujinga kwa vihoja vya hovyo hovyo!
Lissu yuko huru na yuko Hai leo anatamba dunia nzima.

Jiwe amenaki skeletoni huko kuzimu
 
Ndiyo maana alimchukia sana Bashite baada ya kuharibu jaribio kwa kimbelembele chake
Kumbukeni ile kauli kuwachukia watoto wa miaka ya 1982
Hahaha Bashite alimhakikishia kuwa Angeweza kumwondia Lissu kama kuzima mshumaa. Iliposhindikana kwakweli hali zao zilikuwa mbaya.
 
Lisu ni shujaa wa afrika
 
very nice post! UBARKIWE kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…