Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

..Solomon Ole Saibul

..Joseph Lemomo

..Maalim Nabahan

..Ayoub Kimbau

..Abel Mwanga

wewe ndo umeandika wabunge wa zaman,mtu anataja akina Wangwe na Kaboyonga wa juzi tu.

Maalim Nabaan alishafarik huyo mzee alikua anatembea na baskeli licha ya kuwah kuwa mbunge na dc.
 
[/QUOTE]: masudi Chitende.John Kibogoyo, Zimbihile ,Fundikira.rostamu,Kapuya,
 
Tuntemeke Sanga, Esili Mwakyambiki, Stephen Kibona (wote marehemu sasa)
 
wewe ndo umeandika wabunge wa zaman,mtu anataja akina Wangwe na Kaboyonga wa juzi tu.

Maalim Nabaan alishafarik huyo mzee alikua anatembea na baskeli licha ya kuwah kuwa mbunge na dc.

naumbu,

..wachangiaji wanakumbuka bunge la Spika Pius Msekwa!!

..nasubiri waje wazee wenzangu hapa watukumbushe wakati wa Spika Adam Sapi Mkwawa, na waliomtangulia.
 
Jenerali Ulimwengu, Abel Mwanga, Bi Fatma Saidi Ally, Herman Kirigini.
 
Back
Top Bottom