Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Solomon Ole Saibul
..Joseph Lemomo
..Maalim Nabahan
..Ayoub Kimbau
..Abel Mwanga
anaendelea vizuri mkuu niliona asharudi home!!kingunge ngombale mwiru ( mungu amsaidie apone)
wewe ndo umeandika wabunge wa zaman,mtu anataja akina Wangwe na Kaboyonga wa juzi tu.
Maalim Nabaan alishafarik huyo mzee alikua anatembea na baskeli licha ya kuwah kuwa mbunge na dc.
naumbu,
..wachangiaji wanakumbuka bunge la Spika Pius Msekwa!!
..nasubiri waje wazee wenzangu hapa watukumbushe wakati wa Spika Adam Sapi Mkwawa, na waliomtangulia.
kingunge ngombale mwiru ( mungu amsaidie apone)