Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Fursa kwa wandishi wa historia kutuletea vitabu vya historia za wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano kuanzia nyerere mpaka mwinyi. wajikite kwenye mawazo yao, michango yao inayoweza kuwa referred kwenye Hansard, misimamo yao kiitikadi, position walizochukua kwenye mambo ya muhimu ya kitaifa mfano mabadiliko ya katiba, masekeseke ya serikali mbili/tatu, maendeleo kwenye majimbo yao na mambo mengineyo walioyofanya kuipeleka mbele au kuirudisha nyuma Tanzania yetu.

Hii itakuwa inspiration kwa hawa wabunge wa sasa nao wapende kuja kukumbukwa vizuri na historia. Aliyefanya mambo mabaya aanikwe, aliyekula tu pesa za uma bure naye ajulikane, aliyeunga mkono maovu naye ajulikane.

Ni mawazo mazuri, siyo kutajiana majina tu, bali kudadavua mchango wao na umuhimu wao kwa taifa hili.

Ila sijui kama CCM watapendelea historia zao za kuunga mkoni kila kitu kuanikwa wazi.
 
kuna haya majembe mabishi na yenye roho mbaya ya Kiiraqw pia;

Patrick Qoro-Karatu
Mateo Qaresi-Babati
Philip Marmo-Mbulu
Fredrick Sumaye-Hanang
 
Naomba mtu anijibu WILLIAM MWAGAMALINGO MPILUKA alikuwa mbunge wa wapi?! wa kwanza kutoa jibu sahihi namrushia vocha ya 5000
 
Stephen Nandonde (Tandahimba), Luka Kitandula (Mkinga), Piniel Ole Saitabau (Arumeru), Jared Ghachocha (Ngara), Prof. Joseph Mbwiliza (Kibondo), Sebastin Kinyondo (Bukoba), Prof Nicas Mahinda (Morogoro Kusini), Dr. Ngunangwa (Njombe Kusini), Jackson Makweta (Njombe Kaskazini), Jenerali Twaha Ulimwengu (Taifa, Vijana), Mohamed Seif Khatib (Taifa, Vijana), Getride Mongela (Taifa, Wanawake), Anna Sehamba Makinda (Taifa, Vijana), ChinunoMagoti (Serengeti)....
 
Miaka inaenda jamani Twaha Ulimwengu, Mohamed Seif Hatibu na Anna Makinda walikuwa wabunge kundi la vijana! Duuh eti saa hivi vijana wa ccm ni kina Makonda, Happi, Slow slow, Mnyeti.......!
 
Back
Top Bottom