Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

kingunge ngombale mwiru ( mungu amsaidie apone)
wewe usikufuru mungu! huyu joseph kingunge yeyey alimkana mungu na heshina zake hadhalani kwamba hamjui. leo hii umuombe mungu gani ili apone! wewe bora ungesema tumuombe stalin, mao tsedong au Lenini ili apone, hapo joseph atafurahi.
 
Ole Saibuli, Mwinyihamis, makame, Titi Mohamed, Eliufoo, Padri Kiwanga, Adam Sappi Mkwawa, Moringe Sokoine, Kawawa, Makweta, Kimbau, Ramiah, Kolimba, Moses Mnauye, Ntagazwa, Magembe, Chiduo, Mporogonyi, Mwambulukutu, Rupia, Mudhihir, Dittopile Ukiwaona Mzuzuri Mwinshehe, Prof. Malima, Anna Abdallah, Mongella...
 
.............Nalaila Kiula......Leonard Shango........Juma Kilimba..........Mwigulu Mchemba.......2015 Dr.Kitila Mkumbo(Mwisho)
 
Hamza Mwenegoha - Morogoro vijini
Pascal Degera - Kondoa kusini
 
Kiongozi umenitajia Lepilal ole Moloimet ukanikumbusha mtifuano wake na Eddo Ngoiyai Lowassa those old days,
Huyu Jamaa kuna kipindi aliuwa mkuu wa wilaya ya rombo asubuhi unamkuta na bukta yake anakata mitaa hana akili nzuri akikukuta baa tu vibao na bakora
 
Basil Pesambili Mramba, Mgana Msindai, Paul Kimiti
 
Kuna baadhi ya wabunge wa zamani (wengine washatangulia mbele ya haki) ambao kusikia au kutamka majina yao kulileta burudani ya aina yake miaka hiyo. Majina machache niliyoweza kukumbuka ni:

Kuwayawaya S. Kuwayawaya
Tuntemeke Sanga
Njelu Kasaka
Stephen Salum Nandonde
Semindu Pawa
Lepilal ole Moloimet
Benito Malangalila
Frederick Nteminyanda Fumbuka
Felix Tadeo Mwanambilimbi
Said Ngw’anangw’alu
Chrisant Majiyatanga Mzindakaya
Omar Kwaang’w

Lekeyia Nk
 
wewe ndo umeandika wabunge wa zaman,mtu anataja akina Wangwe na Kaboyonga wa juzi tu.

Maalim Nabaan alishafarik huyo mzee alikua anatembea na baskeli licha ya kuwah kuwa mbunge na dc.

zamani inaanzia lini?
 
Jakaya Mrisho kikwete mbunge wa Zamani Bagamoyo baadae kuwa Mbunge wa Kwanza wa Chalinze!
 
Sasa hao ni wa zamani? Hata hivyo wanatajwa majina ili iweje?


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

babu nilikurupuka hata sikusoma uzi vizuri,ngoja niwaedit basi...Kilonzi Mporogomyi,Maokola Majogo,Masumbuko Lamwai,Ibrahim Lipumba,sir George Kahama,Hassan Diria,Cleopa Msuya,Omary Mapuri,Mudhihir...hivi Mary Chipungahelo aliwahi kuwa mbunge?
 
Back
Top Bottom