Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umenifanya nicheke mpaka nimeshindwa kula chinese food yangu!!!!!!!!ronaldo de lima
wewe usikufuru mungu! huyu joseph kingunge yeyey alimkana mungu na heshina zake hadhalani kwamba hamjui. leo hii umuombe mungu gani ili apone! wewe bora ungesema tumuombe stalin, mao tsedong au Lenini ili apone, hapo joseph atafurahi.kingunge ngombale mwiru ( mungu amsaidie apone)
Huyu Jamaa kuna kipindi aliuwa mkuu wa wilaya ya rombo asubuhi unamkuta na bukta yake anakata mitaa hana akili nzuri akikukuta baa tu vibao na bakoraKiongozi umenitajia Lepilal ole Moloimet ukanikumbusha mtifuano wake na Eddo Ngoiyai Lowassa those old days,
..Solomon Ole Saibul
..Joseph Lemomo
..Maalim Nabahan
..Ayoub Kimbau
..Abel Mwanga
Kuna baadhi ya wabunge wa zamani (wengine washatangulia mbele ya haki) ambao kusikia au kutamka majina yao kulileta burudani ya aina yake miaka hiyo. Majina machache niliyoweza kukumbuka ni:
Kuwayawaya S. Kuwayawaya
Tuntemeke Sanga
Njelu Kasaka
Stephen Salum Nandonde
Semindu Pawa
Lepilal ole Moloimet
Benito Malangalila
Frederick Nteminyanda Fumbuka
Felix Tadeo Mwanambilimbi
Said Ngwanangwalu
Chrisant Majiyatanga Mzindakaya
Omar Kwaangw
wewe ndo umeandika wabunge wa zaman,mtu anataja akina Wangwe na Kaboyonga wa juzi tu.
Maalim Nabaan alishafarik huyo mzee alikua anatembea na baskeli licha ya kuwah kuwa mbunge na dc.
Sasa hao ni wa zamani? Hata hivyo wanatajwa majina ili iweje?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums