Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Kujikumbusha tu majina ya wabunge inasaidia nini? Ingeleta maana kama kwa kila mbunge jimbo alilowakilisha lingetajwa
na mchango maalum wa huyo mbunge ungetajwa pia. Hiyo ndo maana ya kumkumbuka mtu. Kwa mfano mzee Chrisant Maliyatanga Mzindikaya alikuwa mbunge wa Kwela na alijulikana sana bungeni kwa mtindo wake wa 'kulipua mabomu' ie kutoa hoja nzito za kushtua! nk.
Bila mleta hoja kuanza na majina weye tomaso ungeanza wapi kumuelezea Majiyatanga?! Heshimu fikra za wenzio kama chemchemu ya kusonga mbele!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngunangwa (RIP), Lutaraka, Anne Makinda, Chief Adam Sapi Mkwawa(RIP), Piusi Msekwa, Ukiwaona Ramadhani Ditopile Mzuzuri (RIP), Kuna yule mbunge wa ileje na waziri wa fedha enzi za mwinyi alikataa kuidhinisha pesa za mahujaji,

Stephen Kibona
 
Kuna baadhi ya wabunge wa zamani (wengine washatangulia mbele ya haki) ambao kusikia au kutamka majina yao kulileta burudani ya aina yake miaka hiyo. Majina machache niliyoweza kukumbuka ni:

Kuwayawaya S. Kuwayawaya
Tuntemeke Sanga
Njelu Kasaka
Stephen Salum Nandonde
Semindu Pawa
Lepilal ole Moloimet
Benito Malangalila
Frederick Nteminyanda Fumbuka
Felix Tadeo Mwanambilimbi
Said Ngw’anangw’alu
Chrisant Majiyatanga Mzindakaya
Omar Kwaang’w
Njelu kasa na kuwayawaya bado wanapumua hawa
 
Kuna baadhi ya wabunge wa zamani (wengine washatangulia mbele ya haki) ambao kusikia au kutamka majina yao kulileta burudani ya aina yake miaka hiyo. Majina machache niliyoweza kukumbuka ni:

Kuwayawaya S. Kuwayawaya
Tuntemeke Sanga
Njelu Kasaka
Stephen Salum Nandonde
Semindu Pawa
Lepilal ole Moloimet
Benito Malangalila
Frederick Nteminyanda Fumbuka
Felix Tadeo Mwanambilimbi
Said Ngw’anangw’alu
Chrisant Majiyatanga Mzindakaya
Omar Kwaang’w
Ditopile mzuzuri
 
Back
Top Bottom