Changalucha
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 508
- 593
Henry Mnyeti LIMIHAGATI
Festo Makune
Festo Makune
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Solomon Ole Saibul
..Joseph Lemomo
..Maalim Nabahan
..Ayoub Kimbau
..Abel Mwanga
Bila mleta hoja kuanza na majina weye tomaso ungeanza wapi kumuelezea Majiyatanga?! Heshimu fikra za wenzio kama chemchemu ya kusonga mbele!?Kujikumbusha tu majina ya wabunge inasaidia nini? Ingeleta maana kama kwa kila mbunge jimbo alilowakilisha lingetajwa
na mchango maalum wa huyo mbunge ungetajwa pia. Hiyo ndo maana ya kumkumbuka mtu. Kwa mfano mzee Chrisant Maliyatanga Mzindikaya alikuwa mbunge wa Kwela na alijulikana sana bungeni kwa mtindo wake wa 'kulipua mabomu' ie kutoa hoja nzito za kushtua! nk.
Ngunangwa (RIP), Lutaraka, Anne Makinda, Chief Adam Sapi Mkwawa(RIP), Piusi Msekwa, Ukiwaona Ramadhani Ditopile Mzuzuri (RIP), Kuna yule mbunge wa ileje na waziri wa fedha enzi za mwinyi alikataa kuidhinisha pesa za mahujaji,
Huyu alishawahi kuwa mbunge? Nakumbuka alijaribu kugombea arusha mjini Lema akamgaragaza kisha akapewa ubalozi nchini kenya!Batilda Buriani sijui yuko wapi siku hizi?
Mutungirehi.... Alitishia kuhamisha msitu kwa njia za jadi kama serikali isingemhamisha afisa misitu.Agustino Lyatonga Mrema, Mtungirey, Marmo, Jakson Makweta, Wilbrod Silaa,
kipindi hiko walidai ni chakula cha mamviHuyu alishawahi kuwa mbunge? Nakumbuka alijaribu kugombea arusha mjini Lema akamgaragaza kisha akapewa ubalozi nchini kenya!
Njelu kasa na kuwayawaya bado wanapumua hawaKuna baadhi ya wabunge wa zamani (wengine washatangulia mbele ya haki) ambao kusikia au kutamka majina yao kulileta burudani ya aina yake miaka hiyo. Majina machache niliyoweza kukumbuka ni:
Kuwayawaya S. Kuwayawaya
Tuntemeke Sanga
Njelu Kasaka
Stephen Salum Nandonde
Semindu Pawa
Lepilal ole Moloimet
Benito Malangalila
Frederick Nteminyanda Fumbuka
Felix Tadeo Mwanambilimbi
Said Ngwanangwalu
Chrisant Majiyatanga Mzindakaya
Omar Kwaangw
Ditopile mzuzuriKuna baadhi ya wabunge wa zamani (wengine washatangulia mbele ya haki) ambao kusikia au kutamka majina yao kulileta burudani ya aina yake miaka hiyo. Majina machache niliyoweza kukumbuka ni:
Kuwayawaya S. Kuwayawaya
Tuntemeke Sanga
Njelu Kasaka
Stephen Salum Nandonde
Semindu Pawa
Lepilal ole Moloimet
Benito Malangalila
Frederick Nteminyanda Fumbuka
Felix Tadeo Mwanambilimbi
Said Ngwanangwalu
Chrisant Majiyatanga Mzindakaya
Omar Kwaangw
Mkuu upo!kipindi hiko walidai ni chakula cha mamvi