Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
- Mvi Mavuzi
- Hili Nalo Halijitambui
- Tundu Lissu
- Hili Nalo Halijitambui
- Tundu Lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo aiseeee tena ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM huyu mama uzuri hana maneno na yupo vzr upstairs kwelikweliHuyu mama sijui kapotelea wapi?
Sebastian Lukiza Kinyondo Lutilutungenyama, Kalinjuma,Kemikimba, Zimbile
Na kuna wale waliokuwa mabingwa wa kutoa shilingi,ila nilikuwa mdogo siwakumbuki wale wanaowakumbuka watoa shilingi watujuzeKujikumbusha tu majina ya wabunge inasaidia nini? Ingeleta maana kama kwa kila mbunge jimbo alilowakilisha lingetajwa
na mchango maalum wa huyo mbunge ungetajwa pia. Hiyo ndo maana ya kumkumbuka mtu. Kwa mfano mzee Chrisant Maliyatanga Mzindikaya alikuwa mbunge wa Kwela na alijulikana sana bungeni kwa mtindo wake wa 'kulipua mabomu' ie kutoa hoja nzito za kushtua! nk.
Inaonyesha wazi wewe siyo mhenga kabisa. Mwache dada wa watu. Mhenga lazima azingatie methali" mavi ya kale hayanuki"Batilda Buriani sijui yuko wapi siku hizi?
Huyu alikuwa kamishna wa polisiomary mahita
Ninaowafahamu husema ni hadithi tu za kaleKwani hicho kitoweo wameacha kula?