Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Kujikumbusha tu majina ya wabunge inasaidia nini? Ingeleta maana kama kwa kila mbunge jimbo alilowakilisha lingetajwa
na mchango maalum wa huyo mbunge ungetajwa pia. Hiyo ndo maana ya kumkumbuka mtu. Kwa mfano mzee Chrisant Maliyatanga Mzindikaya alikuwa mbunge wa Kwela na alijulikana sana bungeni kwa mtindo wake wa 'kulipua mabomu' ie kutoa hoja nzito za kushtua! nk.
Na kuna wale waliokuwa mabingwa wa kutoa shilingi,ila nilikuwa mdogo siwakumbuki wale wanaowakumbuka watoa shilingi watujuze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Rev: Elia Simon Chiwanga
2. Jackson Makweta
3. Zimbihile
4. Fr. Supa
5. Simalenga
6. Mustapha Nyang'anyi
7. Sigela Nswima
8. Harith Mwapachu
9. Nabahan
10. Philip Marmo
11. Ukiwaona Ditopile Ramadhani Mwinshehe Mzuzuri
12. Musa Kandeo
13. Sarah Mwenge
14. Nsa Kaisi
15. Ismail Ivwata
16. Nalaila Kiula
17. Sebastian Kinyondo
18. John Momose Cheyo
19. Amran Mayagila
20. Idi Simba
 
Musa Nkhangaa wa Singida mjini,Mohamed Misanga wa Singida Kusini kabla jimbo kugawanywa Mashariki na Magharibi.Mateo Qares, Njelu Kasaka,Edmund Mjengwa.Estarina Kilasi.Ayoub Kimbau,Jacob Shibiriti,Chrisant Mzindakaya,Iddi Simba,Simon Mbilinyi,Paul Kimiti,Tatu Ntimizi,Lucas Seleli,Mohamed Ramia,Charles Kangoji,Felix Mrema,Juma Kidunda,Arcado,Ntagazwa,Benedicto Mutungirehi, Wiliam Shelukindo,Paul Ndombo,Kingunge Ngombale Mwiru,Juma Kilimba,Ismail Ivwata,Edger Maokola Majogo,Gedion Cheyo,Walid Kabourou,Pumkhir Singh,Salim Msabah,Benson Mpesya,Gwasa Sebabili,Semundu Pawa,Khadija Kusaga,Zainuddin Adamjee,Rita Mlaki,Getrude Mongella,Philip Marmo,Nalaila Kiula,Joseph Mungai,Mgana Msindai,Wilbroad Slaa.
 
Back
Top Bottom