Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Aden rage

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
1. Rev: Elia Simon Chiwanga
2. Jackson Makweta
3. Zimbihile
4. Fr. Supa
5. Simalenga
6. Mustapha Nyang'anyi
7. Sigela Nswima
8. Harith Mwapachu
9. Nabahan
10. Philip Marmo
11. Ukiwaona Ditopile Ramadhani Mwinshehe Mzuzuri
12. Musa Kandeo
13. Sarah Mwenge
14. Nsa Kaisi
Yah Brigedia Jenerali Nsa Kaisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngunangwa (RIP), Lutaraka, Anne Makinda, Chief Adam Sapi Mkwawa(RIP), Piusi Msekwa, Ukiwaona Ramadhani Ditopile Mzuzuri (RIP), Kuna yule mbunge wa ileje na waziri wa fedha enzi za mwinyi alikataa kuidhinisha pesa za mahujaji,
Stephen Kibona
St
 
Kuna baadhi ya wabunge wa zamani (wengine washatangulia mbele ya haki) ambao kusikia au kutamka majina yao kulileta burudani ya aina yake miaka hiyo. Majina machache niliyoweza kukumbuka ni:

Kuwayawaya S. Kuwayawaya
Tuntemeke Sanga
Njelu Kasaka
Stephen Salum Nandonde
Semindu Pawa
Lepilal ole Moloimet
Benito Malangalila
Frederick Nteminyanda Fumbuka
Felix Tadeo Mwanambilimbi
Said Ngw’anangw’alu
Chrisant Majiyatanga Mzindakaya
Omar Kwaang’w
Mkuu kwa huyu Lepilali ole moloimet. Hakuwa kuwa m bunge ila aliwahi kuwa mkuu wa wilaya huko manyara sikosei kiteto. Ila kwa wakati huo m bunge wa Kiteto ni marehemu Benedict lesurutya huyu alikuwa anaongoza kwa usingizi bungeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Rev: Elia Simon Chiwanga
2. Jackson Makweta
3. Zimbihile
4. Fr. Supa
5. Simalenga
6. Mustapha Nyang'anyi
7. Sigela Nswima
8. Harith Mwapachu
9. Nabahan
10. Philip Marmo
11. Ukiwaona Ditopile Ramadhani Mwinshehe Mzuzuri
12. Musa Kandeo
13. Sarah Mwenge
14. Nsa Kaisi
Abasi gulamali..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Monica Mbega, Omar nundu, Makongoro Nyerere, Diallo, Ibrahim Msabaha, Ibrahim Marwa,Prof Sarungi, Prof Machunda, Julie Manning, Prof Kapuya, Aden Rage, Prof Mbilinyi, Mzee Chenja, Mabere Marando, Lamwai, Sebabili ( ngara)
 
Back
Top Bottom