Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubaloz japan sio kenyaHuyu alishawahi kuwa mbunge? Nakumbuka alijaribu kugombea arusha mjini Lema akamgaragaza kisha akapewa ubalozi nchini kenya!
Yah Brigedia Jenerali Nsa Kaisi1. Rev: Elia Simon Chiwanga
2. Jackson Makweta
3. Zimbihile
4. Fr. Supa
5. Simalenga
6. Mustapha Nyang'anyi
7. Sigela Nswima
8. Harith Mwapachu
9. Nabahan
10. Philip Marmo
11. Ukiwaona Ditopile Ramadhani Mwinshehe Mzuzuri
12. Musa Kandeo
13. Sarah Mwenge
14. Nsa Kaisi
Stephen KibonaNgunangwa (RIP), Lutaraka, Anne Makinda, Chief Adam Sapi Mkwawa(RIP), Piusi Msekwa, Ukiwaona Ramadhani Ditopile Mzuzuri (RIP), Kuna yule mbunge wa ileje na waziri wa fedha enzi za mwinyi alikataa kuidhinisha pesa za mahujaji,
Mkuu kwa huyu Lepilali ole moloimet. Hakuwa kuwa m bunge ila aliwahi kuwa mkuu wa wilaya huko manyara sikosei kiteto. Ila kwa wakati huo m bunge wa Kiteto ni marehemu Benedict lesurutya huyu alikuwa anaongoza kwa usingizi bungeni.Kuna baadhi ya wabunge wa zamani (wengine washatangulia mbele ya haki) ambao kusikia au kutamka majina yao kulileta burudani ya aina yake miaka hiyo. Majina machache niliyoweza kukumbuka ni:
Kuwayawaya S. Kuwayawaya
Tuntemeke Sanga
Njelu Kasaka
Stephen Salum Nandonde
Semindu Pawa
Lepilal ole Moloimet
Benito Malangalila
Frederick Nteminyanda Fumbuka
Felix Tadeo Mwanambilimbi
Said Ngwanangwalu
Chrisant Majiyatanga Mzindakaya
Omar Kwaangw
Abasi gulamali..1. Rev: Elia Simon Chiwanga
2. Jackson Makweta
3. Zimbihile
4. Fr. Supa
5. Simalenga
6. Mustapha Nyang'anyi
7. Sigela Nswima
8. Harith Mwapachu
9. Nabahan
10. Philip Marmo
11. Ukiwaona Ditopile Ramadhani Mwinshehe Mzuzuri
12. Musa Kandeo
13. Sarah Mwenge
14. Nsa Kaisi
Herman Elias Sarwat - MbuluMrema Lyatonga
sent from kanyau