Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Pius YesebhasiPius Ng'wandu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pius YesebhasiPius Ng'wandu.
Kuna baadhi ya wabunge wa zamani (wengine washatangulia mbele ya haki) ambao kusikia au kutamka majina yao kulileta burudani ya aina yake miaka hiyo. Majina machache niliyoweza kukumbuka ni:
Kuwayawaya S. Kuwayawaya
Tuntemeke Sanga
Njelu Kasaka
Stephen Salum Nandonde
Semindu Pawa
Lepilal ole Moloimet
Benito Malangalila
Frederick Nteminyanda Fumbuka
Felix Tadeo Mwanambilimbi
Said Ngwanangwalu
Chrisant Majiyatanga Mzindakaya
Omar Kwaangw
..Solomon Ole Saibul
..Joseph Lemomo
..Maalim Nabahan
..Ayoub Kimbau
..Abel Mwanga
ni ningependa sana kupata wale miamba wakuu yaani G48 kama sijakosea, wale wapinzani ndani ya Bunge enzi za mwalimu.
nafikiri kiongozi wao alikuwa Njeru Kisaka, si na uhakika kama sitta alikuwapo ndani, mwenye data - ni kujikumbisha tu sina jingine.
Jakaya Kikwete,Zito Zuberi Kabwe,Mwakyembe,Mzindakaya,Nundu,Lwakatare,Kiyonzi Mpologomyi,Maokola Majogo,Tundu Lissu,Keenja,Kigoda,Lipumba,Mapuri,Masumbuko Lamwai,Mdee,Mgana Msindai(na ule mwili wake na staili yake ya mavazi)halafu na hawa madaktari wawili wenye jina la kwanza la Hamisi na ya pili ni Kagasheki,na huyu mwingine nawaachia homework ya kutamka...Kigwangala!
kuwayawaya S kuwayawaya
Steven Nandonde, Kuwayawaya S. Kuwayawaya, Maria Kham, Shamim Khan, Julie Maning, Mama Munuo.