Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Chitope, Livigha, Philip Magani, Tatu Ntimizi, Abasi Gulamali, Nasoro Malocho
 
Edward Moringe Sokoine
Salim Ahmed Salim. huyu nasikia ndugu zake wengi wamezikwa Arabuni zilikuwa tetesi kipindi alipokuwa anawania nafasi ya Uraisi na mzee FastJet!
Bila kumsahau Marehemu Oscar Kambona,Chifu Abdallah Fundikila

Sina uhakika kama Laurence Gama alishawahi kuwa Mbunge zaidi ya Ukuu wa Mikoa!

Marehemu Gama alikuwa mbunge wa Songea Mjini akaangushwa na Nchimbi
 
Dr. Leader Stirling
Mary Hancock
Derick Noel Bryceson
John Hunter
 
Walileta mchango gani katika taifa hili hawa watu?

Baadhi yao walituletea G55;Kikosi kazi ndani ya Bunge kilichosema wazi bila kuminya maneno kuwa Muungano wa Tanganyika na ZNZ una kasoro kubwa!

Wabunge wengine wa zamani ni:

Isakwisa Mwambulukutu(Rungwe)
Mwanansao(Nkasi)
Paul Rupia(Ukonga)
Joachim Simpasa(Mbozi)
Kalinga(Ileje)
Malaki Lupondeje(Magu)
Omary Kwaang'(Babati)
Mwaduma(Iringa mjini)
 
Kuna baadhi ya wabunge wa zamani (wengine washatangulia mbele ya haki) ambao kusikia au kutamka majina yao kulileta burudani ya aina yake miaka hiyo. Majina machache niliyoweza kukumbuka ni:

Kuwayawaya S. Kuwayawaya
Tuntemeke Sanga
Njelu Kasaka
Stephen Salum Nandonde
Semindu Pawa
Lepilal ole Moloimet
Benito Malangalila
Frederick Nteminyanda Fumbuka
Felix Tadeo Mwanambilimbi
Said Ngw’anangw’alu
Chrisant Majiyatanga Mzindakaya
Omar Kwaang’w

Masoud Ally Masoud
Leonard Derefa
Matheo Quares
Arcando Ntagazwa
Abubakari Mgumia
Charles Kileo
Alinawinga
Makune
 
babu nilikurupuka hata sikusoma uzi vizuri,ngoja niwaedit basi...Kilonzi Mporogomyi,Maokola Majogo,Masumbuko Lamwai,Ibrahim Lipumba,sir George Kahama,Hassan Diria,Cleopa Msuya,Omary Mapuri,Mudhihir...hivi Mary Chipungahelo aliwahi kuwa mbunge?

Ibrahim Lipumba alikuwa mbunge wa wapi?
 
Mateo Tluway Naasi Qaresi - Babati
Patrick Silverius Qorro - Mbulu
Damian Buhha - Mbulu
Salustian Akonaay - Mbulu
 
1. Fr. Supa
2. Sara Joy Mwenge
3. Elia Simon Chiwanga
4. Ditopile Wamzuzuri
5. Martha Wejja

Duh umenikumbusha Ubunge wa Ilala miaka hiyoooo wakati Ditopile akimtungua mama Martha Wejja! Ditto bwana akawa anasema anashangaa akina mama wanaouza vitumbua wanasumbuliwa wakati yeye alisoma kwa vitumbua!
 
Back
Top Bottom