Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Samwel Luhangisa,Mujuni Kataraiya,Alfred Munganyizi Lwakatare(Bukoba mjini)
Joseph Rwegasira(Nkenge)
Pius Ngeze(Ngara)
Masilingi(Muleba)
Kanali Mjengwa(Mbalali)
 
Kuwayawaya Stephen Kuwayawaya Kuwayawaya hadi mwisho Kuwayawaya

Farecy Kashemeza Kabuye (RIP)

Sebastian Lukiza Kinyondo

Jeremeiah Mlyambate
 
Jenerali Ulimwengu, Chediel Mgonja, Shekilango, Namfua..... Salome Mbatia........
 
Mbunge Kihiyo mbona alikuwepo.
Na alikuwa na vyeti feki, na ndio mwanzo wa kuitwa kihiyo ukiwa na credentials feki!!!
Ni kweli na wasikubishie kwani alikuwa Mbunge wa Temeke na wajanja wakamkatia Rufaa akaingia Agustino Lyatonga Mrema na kweli kuanzia hapo watu wakaanzisha jina hilo la kutokufaulu ni uKihiyo, Huyu jamaa ansikia alikuwa ofisi ya Ubalozi huko Nigeria sijui km ni kweli na yuko wapi sasa
 
Mbunge Kihiyo mbona alikuwepo.
Na alikuwa na vyeti feki, na ndio mwanzo wa kuitwa kihiyo ukiwa na credentials feki!!!
Ndo maana yake vituko tulianza zamani....huyu jamaa aliharibu hili jina sana..kuna ndugu zangu wengi tu wanaitwa Kihiyo kule sambaani walikua wanaona aibu sana.......tehe.....tehe enzi hizo....Mhe.Kihiyo uko wapi siku hizi..........
 
Ezekiel malogoi Manyanya
joseph sinde walyoba
tedy magayane
faustine kabuzi
tedy kaselabantu
lucasi seleii
jeremiah mlyambate
leonard dereva
 
ni ningependa sana kupata wale miamba wakuu yaani G48 kama sijakosea, wale wapinzani ndani ya Bunge enzi za mwalimu.
nafikiri kiongozi wao alikuwa Njeru Kisaka, si na uhakika kama sitta alikuwapo ndani, mwenye data - ni kujikumbisha tu sina jingine.
Mkuu hiyo ilikuwa G55, pia haikuwa enzi za Mwalimu bali ilikuwa enzi ya Mzee Rukhusa! Mzee alikuwa ameshasalimu amri kuhusu kuanzishwa kwa serekali ya Tanganyika ndani ya Muungano. Kiongozi wao alikuwa Sang'ka Marmo wakati huo akiwakilisha jimbo la Mbulu. Wamshukuru Mwalimu alikuwa haambiliki vinginevyo sasa hivi tungekuwa na serikali 3. Hicho ndo kisa cha mwalimu kuwachukia John na mwenzake Horace mpaka akafikia hatua ya kuandika kile kitabu cha Uongozi na Hatima ya Tanzania (Kama sijachanganya jina)
 
Festo Makune
Bujiku Sakila
Kijakazi Kyerule
Lawi Nangwanda Sijaona
Luther Dagaa
Jakob Shibiliti
Marco Mabawa
Kilontsi Mporogomyi
 
Kweli mkuu,
asante kwa correction.
Narekebisha...

Mvomera ni Mh. Nicas Mahinda.

Bado unazidi kuchemka tu mkuu. Enzi ya akina Nica Mahinda Mvomero lilikuwa halijawa jimbo bado!! Mvomero sasa hivi ndo imeingia kwenye awamu ya pili ya kuwa na mbunge mkuu.
 
Bado unazidi kuchemka tu mkuu. Enzi ya akina Nica Mahinda Mvomero lilikuwa halijawa jimbo bado!! Mvomero sasa hivi ndo imeingia kwenye awamu ya pili ya kuwa na mbunge mkuu.

Sasa wewe badala useme llivzokuwa lnaitwa unaishia kukosoa tu. Lile jimbo lilikuwa linakuwa linaconnect na Kusini na Kusini Mashariki, then likakatwa kutengeneza majibo mawili and later on likakatwa tena. Sasa hivi zamekuwa majimbo matatu tofauti, Mvomero, Morogoro Kusini na Morogoro Kusini Mashiriki.

Sasa ndugu yangu hapa hatuko kwenye mashindano kwahiyo kama unakumbuka lilivyokuwa linaitwa wakati huo sema tu kwa manufaa ya wote.
 
Sasa Mkuu nini usichoelewa hapo?

Kwa ufupi ni kwamba hilo jimbo la Mvomero halikuwapo, hivyo ni makosa makubwa sana kusema eti Nicas Mahinda alikuwa mbunge wa Mvomero wakati hilo jimbo halikuwapo! Kama ulivyoonesha hapo juu mwanzoni kulikuwa na majimbo mawili yaani Morogoro Kusini na Morogoro Kusini Mashariki, hivyo ungeweza kumpa jimbo mojawapo kati ya hayo mawili badala ya kumbambikizia jimbo la Mvomero!!

Ndo hayo tu mkuu wala siyo mashindano ni kuweka kumbukumbu sahihi tu mkuu wangu!!
 
we kumbe mbabaishaji.

Jimbo la Mahinda lilikuwa linaitwa Morogoro Kaskazini.
 
we kumbe mbabaishaji.

Jimbo la Mahinda lilikuwa linaitwa Morogoro Kaskazini.
Mimi wala sikuwa nalifahamu jimbo la Nicas Mahinda nilichokuwa napinga ni kwa wewe kumpa jimbo la Mvomero ambalo halikuwapo wakati wa uhai wake!! Umeona homework uliyoipata? Nisingekukomalia saa ngapi ungeweza kumwuliza jirani yako au kula Desa ili kupata ukweli?

Kwa hiyo siku nyingine usikurupuke kudanganya watu, tafuta kwanza taarifa kamili ndo uandike kitu kumhusu mtu!!
 
Mbali na majina ya wabunge, tukumbushane wamelifanyia nini Taifa letu kama wabunge?? Mchango wao hasa ni nini????
 
Back
Top Bottom