mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Sijui kipindi hiki wanetu wanajazwa Nini vichwaniKuku yai kwa maringo, wajidai hadharani
Ni Nani kwenye mtungo, aliwahi duniani
NAULIZA wenye bongo, mliopo darasani
Nani atutegulie, kitendawili Cha jadi?