Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,070
Nipe citation ya kesi basi na mm nisomeNilikuja kufahamu kiundani kilichotokea siku ya ajali ya meli hii pale niliposoma hukumu ya walioshitakiwa kusababisha ajali hiyo. Miongoni mwao alikuwemo captain..
Mashahidi waliotoa ushahidi mahakamani walinipa picha kamili ya kile kilichotokea. Lilikuwa janga kubwa sana.
Hivi hakunaga waliobakia kabisa?Iliishapote.hapo ni ikiwa inamalizikia dakika chache kabla haijapotea kabisa.
Nasikia kesi ilisomwa kwa muda wa dakika 160(zaidi ya masaa 2 na nusu),Nipe citation ya kesi basi na mm nisome
Yeye anadai sababu ya kuzama ilikua ipi?Nilikutana na Nahodha wake(Jumanne Rume Mwiru) kwa mara ya kwanza mwaka 2008.
Katika kupiga stori naye, akasema ile meli ilikuwa kubwa sana, anasema alikuwa anaiendesha(operate) akiwa amesimama maana uskani wake ulikuwa mkubwa mno hadi usimame ndio unaweza kuuzungusha.
Hakunieleza sababu ya hiyo ajali mkuuYeye anadai sababu ya kuzama ilikua ipi?
Endelea mkuuHakunieleza sababu ya hiyo ajali mkuu
Acha uongo, kwahiyo kila samaki alikuwa na nyama ya mtu?Kipindi hicho tuliacha kula samaki maana ilikuwa ukimpasua samaki lazima ukutane na viungo vya binadamu
Asante sana mkuuPole, apumzike kwa amani mama
Stori za vijiweniWalipigiwa simu tokea wapi mkuu!???na kampuni gani!??ilikua 1996,21 May Kumbuka!!
Aisee Bongo Nyosso... hawa Jamaa wooote walioshtakiwa waliachiwa huru.Hii hapa mkuu.
kiliniuma sana wale wanafunzi wasichana wa Rugabwa waliokuwa wamemaliza kidato cha sita wote waliteketea; walivyoona sasa wanakufa walishikana wote kuagana kwa safari ya milele - too sad.
Ilikuaje mkuu? Yani alikua nani na alitoboa vp
Labda kulikua hakuna namna nyingine mbadala ya kuokoa watu?!
!
Meli Ilipinduka Juu Chini Chini Juu Kama Hivyo. Akaja Sijui Alitokea Wapi Na Cheo Chake Kilikuwa Kipi, Alipanda Na Mtungi Wa Gas Pale Juu Akaanza Kutoboa Ili Atoe Watu. Baada Ya Kutoboa Upepo Uliokuwa Unazuia Meli Isizame Ukatoka Meli Ikazama Mazima. Lilikuwa Wazo La Kijinga Mno Kuwahi Kutokea.
Mkuu mawakili wa serikali ni tatizo....Aisee Bongo Nyosso... hawa Jamaa wooote walioshtakiwa waliachiwa huru.
Kweli maisha hayapo fair... View attachment 874966View attachment 874967
Sasa mkuu kama kichwa chini miguu juu....ina mana sasa 3rd class walikua juu?Kwa msio jua meli ilipinduka ndio ikazama, yaani kichwa chini mi guu juu!!
Hii meli ilikuwa imejaza kupita kiasi na ilikuja upande upande toka bukoba!!
Na ijulikane meli ya victoria na iyo mv bukoba zina sehemu ya kukaa abiria chini kabisa wanaziitaga third class sasa ilipo binuka watu walikua wanagonga kitako cha meli wakiwa ndani ya meli kuomba msaada, ndipo wakaja na wazo watoboe kwenye kitako ili wawatoe kumbe ndio wanaizamisha!!
Izo third class ambazo ndio wengi ujazana huko zinatisha aisee, yaani meli ikiwa inaenda mnakuwa tayari mshazama kama ikotoboka chini, maji yanaanzia kwenu!! Kunakuwa na ngazi mnaingia huko chini kabisa aisee yaani hata kama meli ina kwangua chini mnaisikia!! Wameweka siti.