Esther Symon
Member
- Aug 4, 2017
- 10
- 2
Inasikitisha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana.
Red Cross inahitaji moyoHapana siyo hii...
Nakumbuka baada ya hiyo ajali wakati maiti zinaletwa kwa MV serengeti kutoka mwanza kuja Bukoba nilienda kushuhudia, aisee Mv Serengeti ilikuwa inanuka harufu ya uozo tu, na majeneza yakikuwa makubwa kutokana na amaiti kuvimba matumbo.
Pia siku hiyo ndipo niliacha kutaman kazi ya Red Cross maana wao ndiyo walikuwa wakibeba ma kupakia yale majeneza.
Sikuweza kula kwa siku kadhaa aisee
Pole sanaHii story huwa nikikukbuka najisikia vibaya sanaa
Inafanya kazi mpaka leo mkuu na imepiga sana safari za mwambao wa ziwa Tanganyika mpaka Burundi na Zambia sema ilisimama kwenda Burundi muda flani nadhani mpaka sasa baada ya maharamia kuivamia mara mbiliHii inafanya kazi?
Kipindi hicho Mwanza hakukua na simu za mkononi, mobitel ilianza huku mwaka 1997 na Mwanza nzima walikuwa na mnara mmoja tu kule juu ya ghorofa la 10 Bugando. Hao waliobeba mitungi ilikuwa ni timu ya uokoaji iliyokuwa na baraka za mamlaka husika.Hatari, nasikia huyo jamaa alipigiwa simu na tajiri aliyekuwa kwenye meli kwamba huyo tajiri alikuwa na million 80 na ambaye angemuokoa angechukuwaa hizo pesa. Ndo jamaa wakapagawa wakabeba mitungi ya gesi wakaenda kutoboa ili wamtoe tajiri wapate pesa. Ttizo lilikuwa elimu maana walisombwa wote kungizwa kwenye meli maana maji yaliingia kwa pressure kali nao wakafa.
Duh kumbe haikuwa deep kihivyo mie nlikuwa nafikiria sijui mtr 500 kwenda chini duh ahsante kwa taarifa
Yani nimeshangaa Yani mita 80 kweli Sasa hiyo ni meli au pantoni inspita hapo!
!
Kuna kitu halipo sawa hapo. Yaani kina cha ziwa viktoria hakuzidi urefu wa Uwanja mmoja wa mpira? Au haizidi up ana wa mbio za mita Mia?
mh!kiliniuma sana wale wanafunzi wasichana wa Rugabwa waliokuwa wamemaliza kidato cha sita wote waliteketea; walivyoona sasa wanakufa walishikana wote kuagana kwa safari ya milele - too sad.
Unadhani wote wamewahi kufika kwenye jiji hilo la wala mahindi na chumvi?kwa kwenda juu ukiliangalia lile jengo la Tanesco pale ubungo maji, ilifanana nalo urefu na kwa upana ilikuwa kama lile jengo la lumumba