Kanye2016 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 2,904 Reaction score 3,006 May 16, 2022 #1 Wakuu Habari! Leo nimeona tujikumbushe kidogo na lile sakata la Escrow jinsi watu walivyoifaidi na wanaoendelea kuifaidi nchi hii bila kuguswa. Kipindi ambacho Bunge ni Bunge hasa sio hili la sasa lilopoa kabisa. Inasikitisha Ila ndo vile tena Aluta kontinua.
Wakuu Habari! Leo nimeona tujikumbushe kidogo na lile sakata la Escrow jinsi watu walivyoifaidi na wanaoendelea kuifaidi nchi hii bila kuguswa. Kipindi ambacho Bunge ni Bunge hasa sio hili la sasa lilopoa kabisa. Inasikitisha Ila ndo vile tena Aluta kontinua.
Waterloo JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 25,356 Reaction score 38,922 May 16, 2022 #2 Mkombozi benki ilipitishwa billion ngapi? Hili kanisa katoliki limescale fedha za wizi tu
Kanye2016 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 2,904 Reaction score 3,006 May 16, 2022 Thread starter #3 Waterloo said: Mkombozi benki ilipitishwa billion ngapi? Hili kanisa katoliki limescale fedha za wizi tu Click to expand... Kitu Kama B76
Waterloo said: Mkombozi benki ilipitishwa billion ngapi? Hili kanisa katoliki limescale fedha za wizi tu Click to expand... Kitu Kama B76
chazachaza JF-Expert Member Joined Feb 21, 2018 Posts 2,829 Reaction score 3,835 May 16, 2022 #4 Na ktk kipindi hicho Cha Hilo unaloliita lilikuwa bunge hasa,watu walikwepua ma billions ya pesa!! Sent using Jamii Forums mobile app
Na ktk kipindi hicho Cha Hilo unaloliita lilikuwa bunge hasa,watu walikwepua ma billions ya pesa!! Sent using Jamii Forums mobile app
Mr.Wenger JF-Expert Member Joined Nov 20, 2014 Posts 2,569 Reaction score 6,165 May 16, 2022 #5 Watu kama akina Lisu walinifanya nihisi sina kipawa cha kuwa mbunge, lkn hawa wasasa wananifanya nione ubunge ni kazi rahisi sana
Watu kama akina Lisu walinifanya nihisi sina kipawa cha kuwa mbunge, lkn hawa wasasa wananifanya nione ubunge ni kazi rahisi sana
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 May 16, 2022 #6 Ila yule jamaa wa msoga ametupa hasara itakayogharimu vizazi na vizazi ngosha yeye alipewa akakataa wakataka ku ngoja niishie hapo.
Ila yule jamaa wa msoga ametupa hasara itakayogharimu vizazi na vizazi ngosha yeye alipewa akakataa wakataka ku ngoja niishie hapo.
Kanye2016 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 2,904 Reaction score 3,006 May 17, 2022 Thread starter #7 pwilo said: Ila yule jamaa wa msoga ametupa hasara itakayogharimu vizazi na vizazi ngosha yeye alipewa akakataa wakataka ku ngoja niishie hapo. Click to expand... Endelea Tu mkuu.
pwilo said: Ila yule jamaa wa msoga ametupa hasara itakayogharimu vizazi na vizazi ngosha yeye alipewa akakataa wakataka ku ngoja niishie hapo. Click to expand... Endelea Tu mkuu.