Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

1.Makumbi Juma...homa ya jiji
2.Kelvin Yondan...Vidic
3.Nadir Haroub...Canavaro
4.Said Mwamba...Kizota
5.Mohamed Mwameja. Tone
6.Hamis Gaga...Gagarino
7.John Boko Adebayo
8.Mao Mkami...ball dancer
9.Jamuhuri Kiwelu...Julio


Umenikumbusha mbali mkuu, Said Mwamba Nassoro 'Kizota' unajua kwann aliitwa Kizota?
 
- Abdul maneno "KIbavu" yanga
- Hamis Yusufu "waziri wa ulinzi"
- Alfonce Modest "moto pamba pasi"
- waziri Mahadhi bin Jabir "mandieta"
- Mohamed Husein "machinga"
- Abuu Ramadhan "Amokachi" (sijui yuko wapi huyu jamaa, alikua bonge la fowad


Amri Said 'Stam'
Ulimboka Mwakingwe 'VCD'
Juma Mkambi 'Jenerali'
 


Mwanamtwa Alikuwa anafananishwa na mpiga gitaa maarufu toka Kongo, Dali Kimoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…