Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
-
- #81
Mwanamtwa Alikuwa anafananishwa na mpiga gitaa maarufu toka Kongo, Dali Kimoko
Fred Felix Minziro Katalaiya Majeshi
Godwin Aswile.......Mnyambala!!!!!!
1.Makumbi Juma...homa ya jiji
2.Kelvin Yondan...Vidic
3.Nadir Haroub...Canavaro
4.Said Mwamba...Kizota
5.Mohamed Mwameja. Tone
6.Hamis Gaga...Gagarino
7.John Boko Adebayo
8.Mao Mkami...ball dancer
9.Jamuhuri Kiwelu...Julio
Halafu sasa ukute Majina hayo watangazaji ni Juma Nkamia na Swedi Mwinyi enzi za RTD. Hawa Jamaa kwa kurusha Moyo si mchezo mpira upo katikati tayari pumzi zinawaishia kwa kutangaza hatari. Na mpira wa Tanzania ni Mtamu kwenye redio. Hawa watangazaji walifanya watu waupende mpira sana. Siku hizi mmmh!
Razak yussuf "careca"
Jumanne shango " mtaalam"
huyu alikua mtaalam wa kutia watu kabali usiku mitaa ya kariakoo gerezani