Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

Mwanamtwa Alikuwa anafananishwa na mpiga gitaa maarufu toka Kongo, Dali Kimoko

Mwanamtwa Kiwhelu Nickname yake nyingine anaitwa ''Kiraka'' jamaa ni miongoni mwa wachezaji wachache wa Tanzania waliomudu kucheza nafasi zote kumi na moja uwanjani.yaani kuanza kipa,beki zote,kiungo na ushambuliaji. Jamaa alikuwa kweli kiraka,na match ninayoikumbuka ni Yanga ilipocheza kama sikosei na FC Bulawayo ya Zimbabwe pale Shamba la Bibi Taifa kwenye Club Bingwa Africa,kama si kipa wa Yanga kupewa red card basi Yanga tulimaliza sub zote na kipa aliumia ikabidi Mwanamtwa adake kumalizia Game na kweli alionyesha uhodari mkubwa sana golini.
 
Pia kuna wachezaji kama....
George Lucas " Gaza"
Raphael Paul " RP"
Jobe Ayoub"Kwasakwasa"
Mao Mkami "BallDancer"
Iddy Pazi " Father"
Iddi. Suleimani " Meya wa jiji"
Sanifu Lazaro " Tingisha"
Thomas Kipese "Uncle Tom"
Joseph Kaniki "Golota"
Michael Paul "Nylon"
Aziz Nyoni "Njalambaya"
Frank Kasanga "Bwalya"
Yusuph Macho "Musso"
Willy Martin "Gari Kubwa"
Ally Mayai " Tembele"
Emanuel Gabriel "Batistuta/Batgol"
Nonda Shabani "Papii"
Said Mwamba "Kizota"
Musa Hassan "Mgosi"
 
Na hawa wachezaji wa enzi hizo unawakumbuka:
Sharrif TPC,Hemedi Seif TPC,Mbwana Bushiri TPC,Sembwana TPC,Kadu TPC,Marshed Seif TPC,Sefu TPC,Chuma MTWARA,Kilambo,Kilomoni,Dilunga,Sembuli,Gobbos,hao wote kutoka DAR
 
1.Makumbi Juma...homa ya jiji
2.Kelvin Yondan...Vidic
3.Nadir Haroub...Canavaro
4.Said Mwamba...Kizota
5.Mohamed Mwameja. Tone
6.Hamis Gaga...Gagarino
7.John Boko Adebayo
8.Mao Mkami...ball dancer
9.Jamuhuri Kiwelu...Julio

Namba 9; hakutumia jina hilo zama zake za uchezaji!
 
Halafu sasa ukute Majina hayo watangazaji ni Juma Nkamia na Swedi Mwinyi enzi za RTD. Hawa Jamaa kwa kurusha Moyo si mchezo mpira upo katikati tayari pumzi zinawaishia kwa kutangaza hatari. Na mpira wa Tanzania ni Mtamu kwenye redio. Hawa watangazaji walifanya watu waupende mpira sana. Siku hizi mmmh!

Mtoe Nkamia hapo, sio kizazi cha Swed Mwinyi
 
Abdallah Kibadeni "King of the Ground"
Charles Boniface Mkwasa "Master"
Juma Pondamali "Mensah"
George Kulagwa "Best"
Elias Michael "Springs"
Said Mwamba "Kizota"
Juma Mkambi "General"
Makumbi Juma "Homa ya Jiji"
Zamoyoni Mogella "Golden Boy"
 
Back
Top Bottom