Tujikumbushe penzi la Juma Nature na Sinta

Huyo Sinta kapotelea wapi na ana mishe gani?
Ni rafiki na dida ni mashangingi tu mjini skuhizi kanenepa anaonekana sana kwenye mavigodoro,masherehe nadhani ni mpambaji or something,ila ni msomi ana kadegree na post graduate ya dipromasia
 

Attachments

  • SINTA (1).jpg
    79.2 KB · Views: 58
Yaaan sana aisee long time

Umenikumbusha mbali sana hiyo scene naikumbuka sana
Monalisa asubuhi anafungua mlango anakuta richie kalala mlangoni.
Dadeki ziko wapi siku tamu zile afuu baada ya kupiga wali maharage na juisi ya kuchanganyia maji na pakti ya unga wa juisi,kwa mbaali unasikia vitimbi ya masakuu inaanza
 
If my memory is correct ni pale karibu na ilipokuwa Spanish tiles ukitoka Mwananyamala ukiwa unakutana na njia yaAlhasn Mwinyi...I stand to be corrected
Marry water.
Ok.
Asante mkuu.
Nilikuwa sijui. Huyu jamaa alipopata ajali nilikuwa baharia nchi za watu nikawa nasikiliza bbc swahili
 
Richie alikuwa noma alimtongoza monalisa akakataliwa basi akakaa mlangoni usiku kucha ,dah wajinga ilitu touch yaani nusu watu tuandamane ili jamaa likubaliwe
Mkuu hiyo ni kwenye movie au ni kweli? Wakati Nature anaimba wimbo wa inaniuma sana nilikuwa mdogo basi nikahisi ni kweli kuwa demu wake ana ngoma! Nilikuwa nasikitikaga nikiusikia!
 
Marry water.
Ok.
Asante mkuu.
Nilikuwa sijui. Huyu jamaa alipopata ajali nilikuwa baharia nchi za watu nikawa nasikiliza bbc swahili
Enzi hizo tukiwa makinda tunapendaga manyimbo ya amsha amsha ya bongo fleva basi nilikuwa naonaga nyimbo za Dando za kichokochoko tu na nilikuwa nikisikia inapigwa nasepa zangu au nabadili station. Sijawahi kupenda nyimbo zake mpaka kesho. Halafu nilikuwa namuona kama kajamaa fulani hivi kahovyo hovyo na ile kusuka suka yake nywele nilikuwa namuona ka shoga. Si unajua tena utoto wa kumezeshwa kuwa ukiona mwanaume amekaa kaa kifulani hivi basi jua shoga!
 
Mkuu hiyo ni kwenye movie au ni kweli? Wakati Nature anaimba wimbo wa inaniuma sana nilikuwa mdogo basi nikahisi ni kweli kuwa demu wake ana ngoma! Nilikuwa nasikitikaga nikiusikia!
Hakuwa ana ngoma ila alikuwa anamzushia kumkomoa alipoenda kuzindua mwanza walimrushia chupa staji wakijifanya wana mpenda mfalme wa mwanza (Mtoto wa dandu)
 
Mimi hadi sasa hivi mwanaume akisuka au akitoga sikio namuona ni shoga shupe tu
 
Dadeki ziko wapi siku tamu zile afuu baada ya kupiga wali maharage na juisi ya kuchanganyia maji na pakti ya unga wa juisi,kwa mbaali unasikia vitimbi ya masakuu inaanza

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
''unasemaaaa unakwenda shoting kumbeeee unakwenda kufanya shopping ...''
Nikifikiriiiaa huaga ninalia dem wang amepima amekutwa anangoma"

........Akaja mlevi mmoja akaropoka ......huko nilikotoka noma kwel...sinta na mwenye gar si walinyonyana...ulimi nje nje.....
 
Ila kina luge walijua kutuchezea akili, maana kick zilikuwa zinauza balaa

Nakumbuka uzinduzi wa ablam ya ugari ndani ccm kilumba mwanza kipindi hicho sitaki dem ina hit, alafu clouds wamemuajili sinta kama mtangazaji wa clouds fm mwanza na kituo chake cha kazi kipo mwanza

Watu tupo ccm kilumba galfa sinta huyo akaibuka uwanjani ebwana ilikuwa fujo mpaka show kuvunjika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…