Tujikumbushe penzi la Juma Nature na Sinta

Hahah hio nyimbo naijua,,, nimeisahau jina tu ila almost nyimbo nyingi za nature naziskilizaga zina mistari ya kihuni huni na inachekesha sana. Natamani nature arudi gemuni na style ile ile ya rap katuni.
 
Jicheki picha zako za enzi hizo utaelewa kwann walikuwa wakali. Nimeshawahi kujikana kwenye picha
 
Kitambo sna mitaa ya kwetu ilala sharif shamba kuna chuo cha dsj cha mambo uandishi wa hbr mtt sinta alikuwa anasoma pale ilikuwa hatari ikifika launch time bonga bar full kujibwaga...
Nakumbuka enzi hizo, pull table kwa sana pale bonga.
 
Cintah alipigwa denda hadi gari likagoma kwenda... hii line ipo kwenye wimbo gani...

Hivi kwasasa nani JLO wa sasa kama ilivyokuwa kwa Cintah
 
Cintah alipigwa denda hadi gari likagoma kwenda... hii line ipo kwenye wimbo gani...

Hivi kwasasa nani JLO wa sasa kama ilivyokuwa kwa Cintah
Hakuna km sintah [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwa sasa

Single inaniuma sana!
 
Siku ya kwanza kukutana nae alikuja kwetu usikuu . Alinikuta nimechoka nimetoka ku record usiku, Juma ana mashairi sana yule jamaa
 
Sinta alikuwa mtamu sana, sema story zake mitaani hazikuwa njema,

Hivi yupo wapi kwa sasa
 
Liwema bana..chenga sana
Yaaaan umaarufu wake ulikua unamtosha ata kumilikia jet......kaishia kunjunjwa na vimodo vya bongo vilivyozd kuishusha thamani yake.

Ukusikia ubeauty bila brain ndo ule

Cheki jokate anavyotoboa hvhv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…