Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan utopolo wana drama mnoooNane bora ya makundi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kumbukumbu zinaonyesha Yanga iliishia group stage kwa kushika nafasi ya mwisho katika kundi akiwa na point 4 magoli manne na kufungwa tisa. Simba imevuka group stage kwa kushika nafasi ya pili katika kundi na kuingia Robo Fainali ikiwa na point 10, magoli 9 na kufungwa 7. Kwa ufupi Yanga haikuvuka group stage, na katika miaka michache iliyofanikiwa kucheza gropu stages, mara zote imekuwa ikishika mkia, huku Simba haijawahi kushika mkia
Haya kawahi kunywa uji ulale sasa.Kwa kuwa Simba wameingia nane bora ya Caf confederation cup si vibaya tukawaambia kuwa wao siyo wa kwanza kuingia na Mwaka 2016 Dar es salaam Young Africans waliingia nane bora kisha yakapangwa makundi mawili
View attachment 2177609
katika hatua hii Yanga walibahatika kumchapa MWARABU Mo Bejaia ya Algeria bao moja bila hapo Taifa, goli la kamusoko dakika ya 3 (Bila kupuliza madawa, bila paka, bila tochi)
Mo Bejaia ambaye ndiye aliyekuja kufika hadi fainali na TP Mazembe
View attachment 2177612
HITIMISHO
Tunawaombea Simba waweze kuvuka hatua ya nane bora.
Sema tu Yanga hatuna maneno mengi kama wale vijana wa Moo.Kwa kuwa Simba wameingia nane bora ya Caf confederation cup si vibaya tukawaambia kuwa wao siyo wa kwanza kuingia na Mwaka 2016 Dar es salaam Young Africans waliingia nane bora kisha yakapangwa makundi mawili
View attachment 2177609
katika hatua hii Yanga walibahatika kumchapa MWARABU Mo Bejaia ya Algeria bao moja bila hapo Taifa, goli la kamusoko dakika ya 3 (Bila kupuliza madawa, bila paka, bila tochi)
Mo Bejaia ambaye ndiye aliyekuja kufika hadi fainali na TP Mazembe
View attachment 2177612
HITIMISHO
Tunawaombea Simba waweze kuvuka hatua ya nane bora.
Mabingwa wa kihistoria au sio?😂
Sema tu Yanga hatuna maneno mengi kama wale vijana wa Moo.
Yanga mtakuja kuchanganyikiwa kujiringanisha na Mnyama mkali Simba, si mpambane na hali yenu nyie ni vibonde kimataifa, nyie ni wa mchangani tu