Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Kwa kuwa Simba wameingia nane bora ya Caf confederation cup si vibaya tukawaambia kuwa wao siyo wa kwanza kuingia na Mwaka 2016 Dar es salaam Young Africans waliingia nane bora kisha yakapangwa makundi mawili
katika hatua hii Yanga walibahatika kumchapa MWARABU Mo Bejaia ya Algeria bao moja bila hapo Taifa, goli la kamusoko dakika ya 3 (Bila kupuliza madawa, bila paka, bila tochi)
Mo Bejaia ambaye ndiye aliyekuja kufika hadi fainali na TP Mazembe
HITIMISHO
Tunawaombea Simba waweze kuvuka hatua ya nane bora.