Tujikumbushe: Series hii ya udogoni "journey to the west"

Tujikumbushe: Series hii ya udogoni "journey to the west"

Pia frial sand au sha wuneng ana transformation tofauti 15 .
Shida yake amezoea kuongea kwa sauti kubwa.
Kuna episode moja ilibaki kidogo master aitafune pisi ila mambo yakavurugika.
Shida ya ya bajie ama Piggie ni uvivu ama uzembe akitumwa Ku patrol mlima anatafuta chimbo analala
 
Safari ile bila wu Kong isingewezekana.
Kuna episode moja wu Kong alifanya shindano la kukatwa kichwa yeye na taoist mmoja akakatwa yeye kichwa akakirudisha maana ana transform 72 kwahiyo ana vichwa 72 .

Ilipofika zamu ya yule taoist kichwa chake kilipokatwa mbwa akaja kukichukua
 
Pia master ameonesha zaidi imani yake kwa Piggie kuliko wengine pia anampenda zaidi Piggie kuliko wote.

Ubaya wa Piggie ni kwenye mnuso huwa hajali kitu aliwahi kula mawe akijua ni mkate
 
Hapana ni me, nilikuwa karibu sana na wachina na walinipa movie nyingi za huyu jamaa na mavazi yake kwa nilizoziona ni yale yale haonyeshi sura
Yaani mavazi ni Yale Yale ??
Sema huyu ni kichwa uigizaji wake ni wa viwango anafurahisha sana jinsi anavyopanga mipango kumnusuru master wake
 
Back
Top Bottom