Tujikumbushe: Series hii ya udogoni "journey to the west"

Kuna series ilkua inaoneshwa kama sikosei ilku black and white,ndani ya kipindi cha watoto wetu
Jamaa alkua sjui magician ila alkua ana fanya tricks kbao kama kua na antenna kichwani, kupandda mbegu akaziamuru kwa kidole ziote na kukua mti kbsa mudaa uo uo etc,naitafuta kweli jina lake
 
Sikumbuki kabisa mkuu james corney atakujibu labda anakumbuka
 
Mbali sanaaaa.....

Wakaja kuuwa show na jumong
 
Hii ilinifanya niwe naenda kanisani misa ya kwanza ili kuiwahi yenyewe tu. Nakumbuka ilikua ikioneshwa itv kila jpili mida ya saa tatu au nne asubuhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…