Kwamba hizo udaku ni za kweli mkuu??,. Au mlikua mna chit chat?Enzi hizi jukwaa lilikuwa serious sana.
Hizo ni news zilizokuwa zinaendana na uhalisia wa wakati huo.Kwamba hizo udaku ni za kweli mkuu??,. Au mlikua mna chit chat?
Mlikua mmechangamka sana kipindi hicho😃😄,.Hizo ni news zilizokuwa zinaendana na uhalisia wa wakati huo.
Kuna sehemu nyingine kuna hadi ushahidi.
Its like yale matukio ya MMU yanakuwa combined na chitchat inatoka newz.
And it all about jf members as a Community.
Nimejiuliza if i can write again! Nikakuta zama sio zetu tena.
Ni zenu 😃😃
S.t.d 7 by then. Nimeona nyingi ni za 2014Before you were born 😃
HahahahaS.t.d 7 by then. Nimeona nyingi ni za 2014
12yrs kweli nlikua kadonchoo,.Ulikuwa mdogo sana!
Anyway chitchat ilikuwa kama familia, wengi tulifahamiana na ikawa kimya! Bila mirejesho hasi hapa jukwaani.
Dah😄😅Hahahaha
🤣🤣 ili uweze kuandika habari zenye reflection halisi lazima uwe jukwaani kwa muda na uwajue members.Mlikua mmechangamka sana kipindi hicho😃😄,.
Habari ni za motooo.. Em tuandikie tena jamani
Ooh,. Yeah na majukumu pia yameongezeka wengine sio rahisi kushinda sana jukwaani🤣🤣 ili uweze kuandika habari zenye reflection halisi lazima uwe jukwaani kwa muda na uwajue members.
Duh sasa hivi siwajui, na mambo yamekuwa mengi.
Wengine wameshaaga dunia.