Baada ya kizazi hiko cha uanafamilia
Kikaja chetu cha kuchomoleana battery na kukosa vifua wakati ule 2016/17 mnatongozana na kuanzisha mahusiano,mnafanya yote yanayofanywa na wapenzi mkikutana,siku mkiachana ni mwendo wa kumwaga mboga na ugali huku JF mlipokutana ...wakati ule usipoingia JF asubuhi ukiingia usiku unakutana na stori za uzi fulani wa fulani na fulani walifanyiana mambo fulani uzi ukafutwa....itoshe kusema kizazi cha 2017-2020 hakina mpinzani
Kuna member mmoja alikuwa ananipa summary kwa uzuri sana huko PM kwa yaliyojiri nisipokuwa humu,anaambatanisha na screenshots na nyuzi za nyuma 😆😆
Hiki kizazi cha sasa cha JF kimepoa sana
Kilichokuwa kinakera kizazi chetu ni kuanzishiana nyuzi za kupendana