Tujikumbushe: Udaku wa JF, Miaka 10 iliyopita.

Baada ya kizazi hiko cha uanafamilia

Kikaja chetu cha kuchomoleana battery na kukosa vifua wakati ule 2016/17 mnatongozana na kuanzisha mahusiano,mnafanya yote yanayofanywa na wapenzi mkikutana,siku mkiachana ni mwendo wa kumwaga mboga na ugali huku JF mlipokutana ...wakati ule usipoingia JF asubuhi ukiingia usiku unakutana na stori za uzi fulani wa fulani na fulani walifanyiana mambo fulani uzi ukafutwa....itoshe kusema kizazi cha 2017-2020 hakina mpinzani

Kuna member mmoja alikuwa ananipa summary kwa uzuri sana huko PM kwa yaliyojiri nisipokuwa humu,anaambatanisha na screenshots na nyuzi za nyuma 😆😆

Hiki kizazi cha sasa cha JF kimepoa sana

Kilichokuwa kinakera kizazi chetu ni kuanzishiana nyuzi za kupendana
Kizazi cha moto,. Na hao ndio genZ😄😃
 
12yrs kweli nlikua kadonchoo,.
Ila uzuri ndio hivi jukwaa linatunza kumbukumbu tunasoma kuanzia ya zamani tunafahamu jukwaa lilikua linaendaje😃,.

Sema kidogo mlikua wastaarabu sijaona matusi matusi watu kureact harshly hamna,. Just mnaenjoy tu
Kabisa, hakukuwa na matusi.
Kuna mahali tulikuwa tunapishana lakini hatukufunjiana heshima kabisa.

Kuna zoezi moja na kumsaka miss jf lilitugawanyisha kabisa.
Ila lilivyoisha tukawa sawa tena na maisha yakaendelea.
 
Baada ya kizazi hiko cha uanafamilia

Kikaja chetu cha kuchomoleana battery na kukosa vifua wakati ule 2016/17 mnatongozana na kuanzisha mahusiano,mnafanya yote yanayofanywa na wapenzi mkikutana,siku mkiachana ni mwendo wa kumwaga mboga na ugali huku JF mlipokutana ...wakati ule usipoingia JF asubuhi ukiingia usiku unakutana na stori za uzi fulani wa fulani na fulani walifanyiana mambo fulani uzi ukafutwa....itoshe kusema kizazi cha 2017-2020 hakina mpinzani

Kuna member mmoja alikuwa ananipa summary kwa uzuri sana huko PM kwa yaliyojiri nisipokuwa humu,anaambatanisha na screenshots na nyuzi za nyuma 😆😆

Hiki kizazi cha sasa cha JF kimepoa sana

Kilichokuwa kinakera kizazi chetu ni kuanzishiana nyuzi za kupendana
Yeah! Hapo kati nyie mlitusuana sana.
Sisi wa 2012-2017...
Ilikuwa tofauti kidogo
 
Kizazi cha moto,. Na hao ndio genZ😄😃
Wengi wa miaka ile wanaangukia Gen Z,wakati huo balehe inakolea
Gen Z mliojoin kuanzia 2020 mmepoa kama uji wa mgonjwa hahahah

Wakati wetu sisi mtu anaamka anaamua kuanzisha uzi wa kuwaelezea members kwamba anakujua na akiombwa picha yako anaituma huku wewe mwenye picha usijue picha iliyowekwa ni ya nani
 
🤣🤣🤣
 
Hahah ila kweli sisi tumepoa mnoo😄😄😄

Hivi hili suala la picha huwa inakuwaje maana utakuta limtu linakazania huyu ni wewe unabaki tu kushangaa na wa kwenye picha humjui😃😅😅😅
 
Hata sasa mnafaidi.
Kwa mfano mimi nimehamia kwenye michezo sasa.
Mapenzi na Chitchat sio kivile tena.
😃😃
Ukishakua mtu mzima mapenzi unawaachia watoto😃😄,.

Mwenyewe nadhani nitahamia jamii intelligence niachane na MMU na chitchat sikuizi hakuna jipya
 
Hili jukwaa liliwahi kuwa kama familia kabisa.

Leo kwa msaada wa AI chatgpt.
Nimekusanya baadhi ya matoleo yaliowahi kuwika hapa jukwaani.

Moja ya waandishi wakongwe wa Udaku ni mimi mwenyewe, TANMO , uran na Mentor na Baba V.

Pitia baadhi ya Nakala za udaku hapa.

Aisee tumeshazeeka Sasa.
 
Back
Top Bottom